Serikali yadai nusu ya walioenda COP28 wamejigharamia wengine wamegharamiwa na sekta binafsi

Kwa nchi nyingi za dunia ya 3 ikiwemo Tanzania, kupata nafasi ya utumishi serikalini serikali huwa sio kwenda kuutumikia umma bali ni fursa ya kuiba na kutumbua (kula bata) kwa rasrilimali fedha ya umma huku wanaotakiwa kuhudumiwa na fedha hizo wakiogelea kwenye shida na changamoto kibao...

Bahati mbaya sana kuwa hata kiti kikuu cha cha u - Rais na aliyekikalia naye anakabiliwa na roho iyo hiyo ya wiziwizi (ufisadi) na tamaa ya kutumbua. Na kwa kesi hiyo, nani atawasimamia na kukemea walio chini..

Tunapaswa kuhanikiza kufanyika Kwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala haraka sana. Tujenge mifumo imara ya kikatiba na kisheria ya kusimamia na kuwawajibisha viongozi tunaowapa dhamana ya kuongoza...
 
Ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…