Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

Teh hivi padre ana mamlaka gani katika nchi hii kumfanya asiguswe?


-au unaamini Padre ndio yesu mwenyewe?


-
-
 
mpuuzi mkubwa wewe ,jenga hoja juu ya tuhuma nzito inazorushiwa serikali, ipo siku huyo Dikteta mnayeshinda Humu kumsifia ndo ataomba asylum.
Kamuone daktari mapigo yako ya moyo yameshuka na acid imekuwa nyingi mwilini mwako kwa hasira na chuki!
 
Kuna tetesi kuwa Serikali inapanga au imemvua Padre fulani uraia kisa walaka wa TEC. Nataka niseme kuwa kanisa huwa halichezewi na walevi wa madaraka, ulimweni kote kanisa linaheshimika. Nataka niwaombe viongozi kanisa Katoliki, huyo Padre wanaemuandama msiruhusu aende popote, baada ya hapo tupe taarifa sisi waumini tuone mtu yeyote kama atamgusa.
waumini " wenyewe wa Tz ni alijojo " hamna kitu" kila mtu anayaogopa mauti" ... hakuna wakuthubutu kumtoa jiwe madarakani" kama ingelikuwa wapo/yupo" basii mpaka sasa hivi jiwe angelikuwa ameshakimbilia uhamishoni".... wabongo wote ni watu waoga tu" makelele mengi vitendo 0
 
Sasa huku tunakokwenda si kuzuri.

Ninakumbuka Namfua alitaka ardhi ya watawa wa kanisa Katoliki Kilacha itolewe kwa vijiji vya ujamaa.

Alisema ”ardhi itolewe kwa watu wanaozaa na kujenga taifa kuliko kuwaachia wale matasa”. Watawa walianza Novena, Namfua alipata ajali mbaya iliyisabisha kifo chake.
Tafadhali funguka zaidi kuhusu huo mkasa/habari. Nimevutiwa
 
Mimi ni mtanzania original lakini kweli ukiniambia nikuonyeshe kaburi la bibi mzaa baba sijui nitaanzia wapi. Kwa kigezo hichi cha makaburi wengi sii raia.
Hao maafisa uhamiaji wengi wao ukiwapa mtihani huohuo sijui wataishia nao kuvuliwa uraia?
Baba Mmakonde wa Newala, Mama Muhaya wa Kyaka, yeye kakulia Dar. Kuna sheria gani inayomtaka alijue kaburi la Babu/Bibi yake? Au awe amefika Kyaka/Newala? Mbona tunajichanganya Watz? Sasa tumeanza kuandika kitabu kipya kwa damu yetu wenyewe; "Tanzania inakwenda kombo". Amen
 
Ila Kigoma kz ipo uraia wao huwa una mashaka kwa sababu ya mwingiliano Mkubwa na tamaduni zinazofanana na akina kurunziza.Na wao wapunguze ubishi maana ni wabishi kupita kiasi!
Unataka wote wawe mang'ombe? Waburuzwe tu bila kuhoji? Akili alizotupa Mungu sio za kwendea chooni tu lazima ufikiri na kuhoji.
Kama nafsi yako inafurahia maisha ya kuishi bila kureason,hongera kwako,wengine waache watumie akili zao Barabara,ambayo wewe unaita "ubishi"
 
Watanzani tunajua tu kupiga kelele mitandaoni......wee mtu kagusa maisha na maslahi yenu katika nyanja zote na kateteresha hali zenu zote za kimaisha lkn bado hamjamfanya kitu...et ndo mkajifanye kuvimba baada ya kuskia padre wenu kaguswa!!??

Acheni Unafki
 
Inauma miongoni mwa Mapadre ninaowapenda na kuwakubali sana Ni katibu Mkuu Padre Raymond Saba inauma sana unafiki wa baadhi ya Maaskofu wakatoliki kuficha na kushindwa kuusema ukweli huyo anaeagiza wahoji uraia ni raia wa wapi
Tunawasifu maaskofu na mapadre wa katoliki nchini DRC wamefanya kazi yao ya kitume na matokeo yake tumeyaona
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Mbona warundi wamejaa sana hapa nchini?
 
Back
Top Bottom