Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

Hivi mandela angesema awafukuze wale wazungu wote wangekwenda wapi manake sio kwao kule, wangerudi uholanzi nan angewapokea na wangekaa wapi, keshokutwa mtamsikia yuko vatican na cheo kikubwa tu jiwe lenu litaenda na kuomba kw huyo huyo aombewe
sawa aende tu vatican
 
Nyumba nyeupe wamepita wengi na wameiacha hata waingereza waliijenga na kuiacha
 
Zamani kanisa lilikuwa na utaratibu mgumu na mzuri wa kupata viongozi wake, ilikuwa ina wapelelezi waliobobea kwenda kumchunguza wanayetaka kumpa daraja kubwa ambalo ni gumu kufutwa, kama kwenye familia kulikuwa na historia ya maginjwa ya kurithi ambayo yangeathiri utendaji wa kazi ulikuwa upati, kama wazazi wako hawajafunga ndoa ulikuwa upati, kama ulikuwa na historia ya kutembea na vibinti ulikuwa hupati, kama kwenye familia yenu kuna mtu hana msimamo mfano ndugu yako amebadilisha dini (murtad) ulikuwa upati maana na wewe yawezekana ukafika sehemu ukalidhalilisha kanisa, mambo mengine mengi kama historia yako halisi ikiwemo uraia yalikuwa yanazingatiwa lakini siku hizi....wamepunguza masharti
 
Uelewa finyu, waliozama na MV bukoba takribani watu 1000 na MV Spice Islander iliyoua karibu watu 200 unaweza kutuonyesha makaburi yao yako wapi, acheni ushabiki maandazi.
povu la nini si angejitetea kuwa babu na bibi walikufa kwenye mv bukoba?
Uraia ni suala nyeti sana,kama uraia wako hauna utata inamchukua si zaidi ya dakika tano afisa uhamiaji kuachana na wewe baada ya kumwagadata.
Kama hawa mapadri waliokimbia vita na wazazi wao kufa ni rahisi sana kujipenyeza,kwa sababu wanalelewa na kusomeshwa na wamisionari mpaka nae anakua padri
 
Nyerere asili yake ni Rwanda, mzee Mwinyi Asili yake ni Comoro , mkapa kwao ni Msumbiji, kikwete Asili yake ni congo wakahamia Tabora baadae Bagamoyo, huyo wa sasa asili yake ni Burundi baadae akaja kuwa wa chato, viongozi wa Tanzania wote kwa kiwango kikubwa Asili zao si Tanzania bali ni Nchi jirani.
Story za vijiweni
Halafu jifunze kutofautisha asili na uraia
 
Sheria ya uraia inasema yeyote aliyekutwa akishi tanganyika siku ya tarehe 9 december 1961 basi ni raia wa Tanganyika labda aukane uraia wake, raia hawa wa Tanganyika baadae walikuja wakawa raia wa Tanzania
 
Kuna uraia wa kuzaliwa na uraia wa kupewa. Kwa mfano, wakimbizi wengi sana toka Burundi walipewa uraia wa Tanzania wakati Mwalimu Nyerere alipokuwa Rais.

Si lazima mtu awe Mtanzania ndipo aweze kulitumikia Kanisa Katoliki Tanzania kwenye wadhifa wa Uaskofu au Ukatibu Mkuu wa Maaskofu au hata Uparoko.

Kwa hivyo basi, kuna mchanganyo wa mambo kwenye hii simulizi. Hatujui kama kubadilishwa kazi kwa huyo Padre kunahusiana na uraia wake.

Kuna dhana inajiyojijenga kishabiki siku hizi kwamba kama unaikosoa serikali basi wewe sio mzalendo. Non seguitur (it doesn't follow). Wazalendo wa kweli wanikosoa serikali inapokosea ili isiididimishe nchi.
 
Msaidie kupata asylum nae aishi huko ughaibuni!
Jini ulilonunua wewe mwenyewe kukulinda, likijakumaliza kuwaua na simba, chui na adui wengine, litaendelea kula mifugo zizini, kwani ndio chakula chake.
Mifugo ikiisha litakuja kwa familia yako, hatimae litakujia mwenyewe ambapo hapatawepo hata wa kulia nae. Amen.
 
Kuna tetesi kuwa Serikali inapanga au imemvua Padre fulani uraia kisa walaka wa TEC. Nataka niseme kuwa kanisa huwa halichezewi na walevi wa madaraka, ulimweni kote kanisa linaheshimika. Nataka niwaombe viongozi kanisa Katoliki, huyo Padre wanaemuandama msiruhusu aende popote, baada ya hapo tupe taarifa sisi waumini tuone mtu yeyote kama atamgusa.
 
kama wewe ni mtanzania,huwezi kushindwa kuonesha walipozikwa wazee wako,muite Helsinki nae awe mkimbizi wa kiuchumi
acha mawazo finyu waliofariki kwenye safari ya MV Bukoba na miili yao haikuonekana unaenda kuonedha kabuli gani?

unakumbuka ndege ya Malaysia ilivyo potea na watu?

umezingatia swala la kusema babu alipelekwa kwenye mashamba ya mkonge na akapotelea huko unaonesha kabuli lipi?


Zipo factors nyingi zinaweza sababisha ushindwe kuonesha makabuli ya bibi/babu yako. Fikiria nje ya box
 
Kuna tetesi kuwa Serikali inapanga au imemvua Padre fulani uraia kisa walaka wa TEC. Nataka niseme kuwa kanisa huwa halichezewi na walevi wa madaraka, ulimweni kote kanisa linaheshimika. Nataka niwaombe viongozi kanisa Katoliki, huyo Padre wanaemuandama msiruhusu aende popote, baada ya hapo tupe taarifa sisi waumini tuone mtu yeyote kama atamgusa.
Aende mahakamani,kama alivyofanya Jenerali Ulimwengu
 
Itakuwa sio Kanisa Katoliki Mkuu, Katoliki ni taasisi kubwa sidhan km unavhokisema kitakuwa,
 
unaweza kua sahihi,lakini huyo padri ni mrundi,hapo hata akipiga novena itamrudia hakuna dhulma hapo,ametendewa haki
Tanzania ndio nchi pekee dunia,mgeni anaweza kujichanganya na raia,akapata pasi na kadi ya kura akajifanya mtanzania
Mbona huwa hamdhubutu kusema fulani ni raia wa Rwanda? Kila anasiyesingiziwa kutokuwa raia wa Tanzania, Burundi husingiziwa, mnaogopa nini kutaja Rwanda?
 
Eyakuze sio mzaliwa wa Kigoma. Kwa kinywa chake mwenyewe alisema kwao ni Kagera.
 
Back
Top Bottom