Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

Wanayo jeurii?
Wafanye hivyo kama jeuri hiyo wanayo itakuwa vizuri zaidi maana wamezidii
 
Unaachaje kua mnyonge wkt we ni kapuku?Budget yenyewe unawategemea wao.
 
Huyu waziri alianza vibaya nina wasiwasi na uwezo wake
Huyu mama malamula ni mpuuzi tu anasema tanzania inaboresha mahusiano? Yaliyoharibika kivipi? Ujinga ujinga wa kuzurula na kujipendekeza kwa mabwana ndo kuboresha mahusiano? Hopeless!
 
Don't be naive, hiyo inaitwa 'diplomatic language'. Hawawasilishi ujumbe kwa tone yenu ya Buguruni Malapa ya kusutana, hii ni once you receive the message you read between the lines.
 
Muache yuko ndotoni huyo, akiamka akakumbuka anaeondoka huwa wanamuita nchi muhisani ndio akili zitamrudia.

Meko kama hakuwa mbinafsi alikuwa nani? ile Mayanga Construction ameshaisahau, wamebaki kuimba hilo jina tu.
 
Aka ka nchi kamezoea kufanya kazi kwa mazoea tu,bila weledi.
Na shida ni upopo unataka pesa au msaada wa Danmark huku unavuruga wapinzani,utawala bora ,haki za msingi za mwananchi,unadhani wao ni mafala waendelee kukubeba?

Unawakamua wananchi kwa kodi zisizo eleweka harafu unazitumia vibaya tena kwa kiburi kwa miradi ya ovyo ovyo na kulitumbukiza taifa katika umasikini wa kutupwa.

Hii try and error kwa miaka zaidi 50 ya utawala wa CCM ifike muda kukubali ukweli kuwa mmezeeka hadi maini.Rudishia nchi wananchi watunge katiba mpya ili tuanze mmoja.
 
Hata wananchi pia wana unyonge, kulitaka bunge lifanye mkakakati wa kuwapigia magoti Denmark ili waghairi🤔! Kwangu huu ni unyonge uliopitiliza😡!
Wanuonge viongozi wako sio ss
M
 
Wachunguze tuhuma na sababu zilizotolewa Kama Zina ukweli wazishughulikie.
 
CCM ni chama cha kihuni na kimejaa udikteta mkubwa!! CCM ni zaidi hata ya kile Makaburu wa South Africa walikuwa wakiwafanyia Wazalendo kina Mzee Mandela(rip)!
Wanachofanya CCM kwa sasa ni KUPIGA PROPAGANGA, UNAFIKI na UONGO mwingi kuwachanganya Watz!!!
 
Kama walichokuwa wanategemea kukipata hawakipati kwa sasa waacheni waende tuu kupe hafugwi.
 
Kama walichokuwa wanategemea kukipata hawakipati kwa sasa waacheni waende tuu kupe hafugwi.
 
Serikali ndio ipi anaposema "Serikali yasikitishwa". Wanaacha kufuatilia sababu na wajenge hoja ya mazungumzo wanasema wanasikitishwa??

Jana tu Polisi wameruhusa "Wananchi Day" yenye watu zaidi ya elfu 30 kuhudhuria, lakini mwezi uliopita tu wamezuia na kuwaweka watu mahabusu kwa kuhudhuria Kikao cha ndani cha chama kuhusu Katiba, watu wasiozidi 40, sababu kuna waraka wa kupunguza mikusanyiko sababu ya Korona.

Halafu Serikali hiyo inaona sawa tu, Mabalozi wakianza kutoka matamko yao, wanasikitishwa. Hivi sisi watanzania tuna shida gani za akili?? Ndio maana watu wenye maamuzi magumu km yule wa Salander, wanafikia hatua ya kufanya alichofanya.

Kwa hali hii...ngoja tutengeneze watu wenye maamuzi magumu halafu siku wakiamka..ndio tutajua kuwa kumbe akili za Binadamu ni kama za Mnyama.
 
CCM hawakawii kusema MABEBERU wamekosa madini yetu baada ya kuyadhibiti vilivyo hatimaye wameamua kukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…