Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

Mafuta hayanunuliwi kwa ballel yanapigiwa mahesabu kwa Barrel.

Unaponunua in bulk ni tonnes of tonnes na kuna bei za Metric Tonnes ambayo ilikuwa hiyo 800.

Tafuteni elimu kabla ya kulalamika.
Sasa mzee msigwa
Tani Moja ina barrels ngapi?

Halafu hiyo $800 kwa Tani ni kwa mafuta yaliyosafishwa au yasiyosafishwa?

NB:
Bei ya leo 9/4/26 ya petrol ndani ya US ni $1.09/Lita ambayo ni sawa na Tsh 2600 tu.
 
Mkuu pombe siyo nzuri kunywa listaarabu
I am gentle man mkuu, nakunywa kistaarabu ndio, aulidhani nakunywa kama mtoto mdogo najimwagia mwagia pombe kwenye nguo mkuu?? Nakunywa kistaarabu 24-7-365. Hapa nimetoka kuamka nataka nimuagize boda alete konyagi ya kati niipige kistaarabu pia
 

Yaani Girishoni ndo anakuja kutolea ufafanuzi kauli ya Bi Msumi?
Nani mwenye akili anamwamini Girishoni?
 
Kwa hiyo anabishana na rais?
 
😂😂😂😂
 
Msameheni tu Rais wenu maana hajui Lita ni ujazo kiasi gani.

Hata yule popoma wa 'tani' naye pia hajui ni Tani ipi: imperial au Metric.

Halafu ukimuuliza kiungwana Tani Moja petroli ni sawa na Lita ngapi atasema wewe ni mchochezi
Hapo kwenye uchochezi na utasikia tunatunza amani yetu ndio ngao yao hao vilaza
 

Asante kwa UFAFANUZI.

Nimejaribu kugoogle kuanagalia 1 tone ya Disel ni litter ngapi na AI inadai ni kati ya lita 1136 -1220.

Sasa kwa hesabu ya Msigwa ya ongezeko la USD 800 kutoka USD 650 ambayo inakupafinal price ya $ 1450 then bei ya kununua disel ni kama 1.188 USD per litter. Hapo utaona kuwa Msigwa katupiga bao na ni uongo wa mchana. Kwa hiyo bei hakuna nchi inayoagiza mafuta nje ingeweza kuuza mafuta kwa chini ya dollar 1.5 ukichukulia gharama za usafirishaji, kodi na levies nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…