Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Kwa hiyo Ton 1 ni sawa na litres ngap?
Kwa hiyo Ton 1 ni sawa na litres ngap?
Umesema price imekua quoted per ton that's why nimemuuliza conversation ya ton per litre sio barrel per litre ili tufanya comparison na price alizotaja mheshimiwa.
Kwa hiyo brother ltr ni sh 1,250,000tshBado UONGO
Yeye kasema 1lt
Bado 1T ni dollar 500 ikizidi sana 800
Hiyo bei ya huko yanapotengenezwa
Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.
Rais hana watu full stop ✋️Kwahiyo huyu bwana anataka kusema raisi hajui kusoma, hajui kutofautisha tani na lita!!
Kipimo cha ujazo cha kimiminika ni lita, na ndio rahisi zaidi..
Kumtetea mama kizimkazi unapaswa ujitoe akili mnooi
Mkuu pombe siyo nzuri kunywa listaarabuNapenda sana kuchangia nchi yangu. Nikikaa masaa hata matano bila kulichangia taifa naanza kutetemeka.
Au nikirudi mapema mtaani kwangu basi ujue mida ya usiku lazima nitome nikalipe kodi
Metric tone mzee huwezi jua kila kitu.
Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
Wameshindwa kutuConvice sasa wameamua kutuConfuse lakini wanazidi kuonekana vituko mbele ya watu wenye akili.Kwenye World market mafuta yanauzwa kwa barrel.
Kwenye pump Marekani, mafuta yanauzwa kwa gallon. Na bei ya gallon kwa sasa iko around Dollar 4 mpaka 5 point something depending uko State gani.
Kwa UK nafuta kwenye pump yanzauzwa around 1.4 Pound per liter.
Hiyo bei ya tone ni conversion ambayo haisikiki popote kwenye news. Kuleta bei kwa mtindo huu ni kujaribu kuconfuse tu mambo.
HII Inaonesha serikali yetu yamejaa mambumbumbu yasiyojitambua.Yaani mtu na akili zake anasema marekani tumewazidi?
1. Mafuta yanauzwa kwa tanni? Au Barrel?Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;
Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3
UFAFANUZI
Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani.
Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo;
1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
2. Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026.
3. Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026.
Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiajiu duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine.
Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Tanzania na nchi zingine za Afrika.
Gerson Msigwa
Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Msemaji Mkuu wa Serikali
Pia soma: Hotuba ya Samia kwenye page ya Ikulu imefutwa muda mfupi baada ya kuhutubia