Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

Mafuta hayanunuliwi kwa ballel yanapigiwa mahesabu kwa Barrel.

Unaponunua in bulk ni tonnes of tonnes na kuna bei za Metric Tonnes ambayo ilikuwa hiyo 800.

Tafuteni elimu kabla ya kulalamika.
we nae n wale wale iyo 800 n tofauti ya bei ya mwanzo na sasa ( kwa maelezo ya msigwa

unadai watu watafute elimu, wewe tu kuelewa ufafanuzi wa karatasi moja umeshindwa alafu wajitapa una elimu.

labda elimu ya uchawa
 
Hapo kwenye mafuta kuuzwa kwa tani ndio Msigwa nae kaniongezea maumivu ya kichwa aliyoyaanzisha Samia.

Simuoni kama Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, huyu amekuja kutuongezea changamoto kichwani.
😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
 
we nae n wale wale iyo 800 n tofauti ya bei ya mwanzo na sasa ( kwa maelezo ya msigwa

unadai watu watafute elimu, wewe tu kuelewa ufafanuzi wa karatasi moja umeshindwa alafu wajitapa una elimu.

labda elimu ya uchawa
Wewe paragraph zangu tatu zimekushinda kuzielewa ndio utaelewa kuwa mafuta yanauzwa kwa Tonnes?
 
We umeona kosa hilo tu, ila uneshindwa hata kumkosoa aliyesema lita dola 800 na uko hapa kumpigia makofi kwamba kasema kitu cha maana na ana PhD ya elimu mbalimbali😁😁
Kumbe na wewe unakosea halafu unacheka wengine.?
 
Habari hapa ni kwamba raisi apitii speech yake anayoandaliwa ili kuilewa na ku-verify facts kabla ya kuja kuropoka.

Na ndio kiini cha ‘ajali kazini’ leo hakuna preparation kabla ya kuja kuongea na wananchi na apparently hajui hata context ya anachoongelea.

Worst hao speech writers wana mbwembwe nyingi sana; kwa nini wasitumie yardstick ya viongozi wote duniani bei ya pipa ghafi.

Mtu mwenyewe kilaza halafu wanamuwekea madoido mengi kwenye speech mpaka anachanganya madesa.

Hizo bei zao nani anaweza verify, maana bei za refined sio sawa kwa kila mteja inategemeana na mambo luluki ya mkataba wa manunuzi.
 
Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;



Pia soma: Hotuba ya Samia kwenye page ya Ikulu imefutwa muda mfupi baada ya kuhutubia
Kumbukumbu zangu zinanambia marekani wanachakata mafuta wenyewe, wananunu mafuta crude oil tena kwa barrel na sio kwa tani. Barrel 1 ni sawa na lita 159 ambalo linanunuliwa kwa dola 95.32.. Japo kuna baadhi ya nchi ndo wananunua kwa dola 100. Kama nimekosea mniambie. maana nakunywa pombe hapa.
 
Wewe paragraph zangu tatu zimekushinda kuzielewa ndio utaelewa kuwa mafuta yanauzwa kwa Tonnes?
soma paragraph zako eti ndo yanauzwa 800 hata iyo mia 8 ujui imekuja vp

tafuta sehemu nilipo bishi hayauzwi kwa metric tone

kwanza bei haikuwa iyo anasema chawa mwenzako

wewe ni wale wale wa 8,000 na unarekebisha 800
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…