Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Maanake Kigamboni isingepaswa kuwa Makazi kama wangeangalia Miaka 1000 mbele.

Kigamboni ingekua Economic Special Zonal ya Viwanda, Jeshi, Airport, Bandari , Tafiti mbali mbali ,

Eneo Hili Sijui kwanini Tuliruhusu Makazi
Na hivyo ndo ilivyopaswa kuwa!

Tatizo Tanzania hatuna watu wa mipango miji na makazi tuna wapima viwanja tu
 
Marekani nao ni hopeless, hawawezi kuwekeza hapo, unless kama mnawapa military base na uranium, they are equally wachenzi kama China
Halafu wamarikani siyo wabobevu katika biashara ya uendeshaji wa bandari. Wapi wamewahi kufanya hii kitu?
 
Nyepesi zilizopo ni kuwa mama kishawapa wajomba zake. Hivyo hii ni janja ya kuvunja mazungumzo ya awali Ina lengo la kuwafukuza wawekezaji wengine. Halafu baad ya wiki chache tu watatangazwa wajomba kuwa wameonesha nia.

Hii bandari, kumbukeni ni lazima ijengwe.
 
Atakuja na masharti kama kawaida ushoga kwanza mengine baadae.
 
Kuna watu walisema China walipewa bandari ya bagamoyo bure kubadilishana na ONE mmoja aliyekamatwa China kumbe ni uzushi mtupu
 
Huyu ni mchumia tumbo na mtu hatari sana kwani yeye lake ni tumbo lake kwanza 🤣
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Afe kipa afe beki .
 
Mara juzi habari ikaja humu humu kua wamevunja mradi

Leo wamerudi na hili tena

Mama kweli ni mama,hawezi kazi za baba.....2025 ifike mapema tupeleke mtu nyumbani akapikie wajukuu
 
Uache uongo, Marekani hawezi kuwekeza bandari ya bagamoyo na hiyo nia haipo.

Sana sana hapo ni kuwabembeleza hao wa- OMAN
Anayewekeza anatakiwa aone fursa na mwenye nchi aone faida ya uwekezaji huo.
Kubembelezana siyo kwa uwekezaji endelevu.
 
Watu wa ajabu sana, tunashindwa kujenga wenyewe
 
Marekani nao ni hopeless, hawawezi kuwekeza hapo, unless kama mnawapa military base na uranium, they are equally wachenzi kama China
Ila ni bora wao kuliko macho madogo ambao wao sehemu zote walizowekeza ni majanga tu Sri Lanka, Zambia na sehemu zingine
 
Ten billion dollars sio pesa ya mchezo mchezo hizo dreamliner unaokota zaidi ya 20
 

Hakipo kitachoendelea bwagamoyo, kinachofanyika ni "ANAJIKOSHA"

Tangu lini Biashara kubwa namna hiyo zikapewa Nchi mbili tena giants zipambanie Bandari moja!!!!!

Hapa Tz Pana wahuni aseeee!!!!!😀😀.
 
Mradi wa bandari Bagamoyo una kipaumbele gani katika mahitaji yetu baada ya kuwekeza fedha nyingi bandari za Dsm, Tga na Mtwara? Kidokezo nionacho cha kukazania ujenzi huo kipo katika repoti ya CAG kuhusu mradi unaoendelea bandari ya Tanga. Alliyepata tenda ya ujenzi analipwa zaidi ya Shs. 104 bilioni. Yeye katoa kazi hiyo ya ujenzi kwa kampuni nyingine akiilipa Shs.40 bilioni! Jirani na bandari ya Tanga ,sekta hiyo hiyo ya usafirishaji shirika la reli TRC limekarabati majengo ya stesheni, bohari na ofisi kwa gharama kubwa. Miaka inapita majengo hayo hayatumiki. Kidokezo kingine hicho.
 
Maanake Kigamboni isingepaswa kuwa Makazi kama wangeangalia Miaka 1000 mbele.

Kigamboni ingekua Economic Special Zonal ya Viwanda, Jeshi, Airport, Bandari , Tafiti mbali mbali ,

Eneo Hili Sijui kwanini Tuliruhusu Makazi
Kwakweli. Katika eneo ambalo limenikalia kushoto ni hilo🙌
 
Kila nchi itakayokuja haitakuwa tofauti sana na china .tuache ukichwa boga wa kiafrika ,tuuziane hisa tujenge taratibu kwa malengo ni suala la.kujiamini na kuwa na flexibility ya ki mawazo. Hii babdari tukicheza nayo ndo litakuwa kaburi kama sri lanka
 
Kinachotafutwa hapo ni namna ya ku.mpa huyo anayeitwa mwekezaji toka UAE mengine ni ujanjaujanja wa kuhalalisha mipango iliyokwishaamuliwa.

Kama kungekuwa na uhitaji wa kweli wa bandari ya Bagamoyo ( naamini haupo) basi tungejengq wenyewe bila kuhitaji mwekezaji, ni rahisi tungesubiri tumalize kujenga JNHPP Rufiji na SGR kisha kuhamia kuanza, kujenga bandari ya Baganoyo kwa pesa zetu wenyewe na tungeweza kwa sababu kiasi cha pesa tunazotenga,katika bajeti ya kika mwaka kwa ajili ya miradi ya JNHPP na SGR tungezitenga kwa ujenzi wa bandari; lakini kwa kuwa nia sio njema ila ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndio maana unasikia hizo hadithi za mwekezaji. Na mwekezaji mpya tayari yupo mfukoni ni timing tu ya ku.mtambulisha inatafutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…