Ingieni Tamisemi and then nenda kwenye taarifa ya kikao cha wafanyakazi, nenda kwenye paragraph ya chini kabisa ambayo ni ya mwisho. Soma wewe mwalimu utapata kujua nini hatima yako.
Nafasi za kazi kwa walimu wapya zinaweza kupatikana kwa mfumo huu, Timua kazi walimu wafuatao ili kuajiri wapya:- Wavivu, wasio na haiba ya ualimu, wanaovaa milegezo, walevi kupindukia, wasiofaulisha wanafunzi, wabadhilifu wa mali ya umma, n.k. kwa kuanzisha mfumo wa kufanya kazi kwa mkataba kama private schools asiyewajibika ipasavyo hakuna ku-renew mkataba, full stop. Nafasi zitapatikana na walimu watachapa kazi, nchi itaenda mbele, kuliko mfumo wa sasa wa mtu akiajiriwa tu basi anajisahau na kuzubaa.
Aheri uzaliwe mbwa marekani kuliko binadam Tanzania
from mdau wa elimu mkubwa tu....Kaniambia sio kwamba haiajiri bali watakaopata ajira ni walimu wa math/science na idadi ndogo ya walimu wa geog/english upande wa arts na hao watapelekwa maeneo nyeti..
mbona ilikuwa kama swali..
serikali imefuta ajira za ualimu??
acheni kutia watu presha.
ndg wanajamvi kati ya maamuz haya ya serikali kusitisha ajira za walimu ambao wengine ni watoto wa wakulima hakika ni pigo takatifu kwasabab wazaz weng walitegemea watoto wao kuja kuwaokoa kiuchum baada ya kuajiriwa na ukizingatia weng wao walisomeshwa kwa kuuza mashamba na mifugo.Polen walimu kwa kilichowapata mwaka huu.
safi sana spendi niajiliwe kabisa nitadumaza ubongo,
kpgzana kelele na mitoto ni kazi inayotaka kjitoa ufaham