CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Ingieni Tamisemi and then nenda kwenye taarifa ya kikao cha wafanyakazi, nenda kwenye paragraph ya chini kabisa ambayo ni ya mwisho. Soma wewe mwalimu utapata kujua nini hatima yako.
Katibu Mkuu amesema kumekuwepo na uvumi kwa baadhi ya mitandao ya kijamii kutangaza kuajiriwa walimu wapya kitu ambacho sio cha kweli na amewataka wananchi kutumia mitandao maalum ya Serikali yenye dhamana ya kutangaza ajira za watumishi nchini kwani kwa hivi sasa Wizara inasubiri kufanya upangaji wa watumishi walimu na mara fedha zao zitakapokuwa tayari watapangwa katika maeneo mbalimbali kulingana na uhitaji wa mahali husika