Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Status
Not open for further replies.
Ingieni Tamisemi and then nenda kwenye taarifa ya kikao cha wafanyakazi, nenda kwenye paragraph ya chini kabisa ambayo ni ya mwisho. Soma wewe mwalimu utapata kujua nini hatima yako.

Katibu Mkuu amesema kumekuwepo na uvumi kwa baadhi ya mitandao ya kijamii kutangaza kuajiriwa walimu wapya kitu ambacho sio cha kweli na amewataka wananchi kutumia mitandao maalum ya Serikali yenye dhamana ya kutangaza ajira za watumishi nchini kwani kwa hivi sasa Wizara inasubiri kufanya upangaji wa watumishi walimu na mara fedha zao zitakapokuwa tayari watapangwa katika maeneo mbalimbali kulingana na uhitaji wa mahali husika
 
Katibu Mkuu amesema kumekuwepo na uvumi kwa baadhi ya mitandao ya kijamii kutangaza kuajiriwa walimu wapya kitu ambacho sio cha kweli na amewataka wananchi kutumia mitandao maalum ya Serikali yenye dhamana ya kutangaza ajira za watumishi nchini kwani kwa hivi sasa Wizara inasubiri kufanya upangaji wa watumishi walimu na mara fedha zao zitakapokuwa tayari watapangwa katika maeneo mbalimbali kulingana na uhitaji wa mahali husika

Soon zitadondoshwaaaa
 
Ndiyo maana najitahd kuangalia madhaifu ya serikali tuwapige chini bila chenga walitolee tamko vzuri ili tupate la kuwaambia wazee wanaoipenda ccm,kama watakubali kuona wajukuu na watoto wao wanashndwa kuajiriwa huku shule za vijijin hakuna kitu hata mijin kabisa...
 
Tujenge shule zetu wenyewe.... Serikali inagundua ilifanya kosa mapema kugawana hela za kwenda kununua mboga bila kuangalia kama waliwasomesha watu wengi na walihitaji kuwaajiri. Ni tatizo kubwa kwa nchi inayoendelea kama yetu ambapo watu wengi hawana kipato cha kuwawezesha kufanya lolote.
 
Sisemi kuwa serikali haitaajiriila ni kwamba serikali ina uhaba mkubwa wa Fedha...Viinua mgongo, fedha nyingiwanazodaiwa na waheshimiwa madiwani, waheshimiwa wabunge, kugawana fedha zaESCROW...ndizo zinawafanya hata wafadhili kutoifadhili Serikali yetu.....Inawezekana hata mishahara ya baadhi ya wafanyakazi ikachelewa kwa muda Fulanikwa siku zijazo...
 
Nafasi za kazi kwa walimu wapya zinaweza kupatikana kwa mfumo huu, Timua kazi walimu wafuatao ili kuajiri wapya:- Wavivu, wasio na haiba ya ualimu, wanaovaa milegezo, walevi kupindukia, wasiofaulisha wanafunzi, wabadhilifu wa mali ya umma, n.k. kwa kuanzisha mfumo wa kufanya kazi kwa mkataba kama private schools asiyewajibika ipasavyo hakuna ku-renew mkataba, full stop. Nafasi zitapatikana na walimu watachapa kazi, nchi itaenda mbele, kuliko mfumo wa sasa wa mtu akiajiriwa tu basi anajisahau na kuzubaa.

Acha Usenge-rema wewe!
 
from mdau wa elimu mkubwa tu....Kaniambia sio kwamba haiajiri bali watakaopata ajira ni walimu wa math/science na idadi ndogo ya walimu wa geog/english upande wa arts na hao watapelekwa maeneo nyeti..
 
from mdau wa elimu mkubwa tu....Kaniambia sio kwamba haiajiri bali watakaopata ajira ni walimu wa math/science na idadi ndogo ya walimu wa geog/english upande wa arts na hao watapelekwa maeneo nyeti..

Je wa Primary Schools?
 
mbona ilikuwa kama swali..
serikali imefuta ajira za ualimu??

acheni kutia watu presha.

Wewe ndo umeondoa utata. Sisi watanzania vichwa ngum. Kichwa cha habari kilikuwa kwenye mfumo wa Question na siyo katika Statement
 
Hii ni kutoka Tanzania daima, haya sasa yangu macho🙄🙄
 

Attachments

  • 1428589939935.jpg
    1428589939935.jpg
    122.9 KB · Views: 2,563
safi sana spendi niajiliwe kabisa nitadumaza ubongo,
kpgzana kelele na mitoto ni kazi inayotaka kjitoa ufaham
 
Ndugu wanajamvi kati ya maamuzi haya ya serikali kusitisha ajira za walimu ambao wengine ni watoto wa wakulima hakika ni pigo takatifu kwa sababu wazazi wengi walitegemea watoto wao kuja kuwaokoa kiuchumi baada ya kuajiriwa na ukizingatia wengi wao walisomeshwa kwa kuuza mashamba na mifugo. Poleni walimu kwa kilichowapata mwaka huu.
 
ndg wanajamvi kati ya maamuz haya ya serikali kusitisha ajira za walimu ambao wengine ni watoto wa wakulima hakika ni pigo takatifu kwasabab wazaz weng walitegemea watoto wao kuja kuwaokoa kiuchum baada ya kuajiriwa na ukizingatia weng wao walisomeshwa kwa kuuza mashamba na mifugo.Polen walimu kwa kilichowapata mwaka huu.

Andika kitu ambacho umekiona Tamisemi wamekitolea taarifa io inshu sio ya kwel ndugu hizo story.
 
Hilo ni swali sio tamko! Alie andika ni mtu anaye subiri ajira kama wewe hivyo alikuwa anajiuliza je serikali imefuta?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom