Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

Utetezi wa ajabu kwenye hela na maisha ya watu , kwanza mradi ulifeli kabla ya watu kuhamia huko dodoma leo kuhamia dodoma unataka iwe sababu ya mhimu mradi kufeli
Una huakika??
 
Huu mradi na mengine mingi imekuwa hasara kwa sababu target yake ilikuwa watumishi wa serikali wauziwe hizi nyumba....Serikali kuhamia Dodoma ndo sababu kubwa mradi kutoendelea..Kuna watu binafsi pia wameathirika na hili sio serikali peke ake
Nchi nzima wananchi mi watumishi wa serikali tu
 
Ushauri mzuri
 
J.....K...DR DA......U NA BAGHAD....NI WA KUNYO.......TU....UKINYO....... NA RA NCHI ITATULIA HUYO MOMBO NA JW DAWA IPO....PLUS BIL WAMBURA .....WAME NUNULIWA WOTE HAO....!!! NANI KUTUKOMBOA TANGANYIKA ?
 
Tangu ukiwa unaanzishwa mwekezaji alikuwepo. Walisubiri tu serikali itangaze kutoendelea na mradi ili mwekezaji akabidhiwe. Imagine landlord unaanza na mtaji wa nyumba 3,000+.

Pole ni kwa kodi ya Mtanzania.
 
Kila kitu ni kupigwa tu nchi hii, poor planning kila kona
 
Tangu ukiwa unaanzishwa mwekezaji alikuwepo. Walisubiri tu serikali itangaze kutoendelea na mradi ili mwekezaji akabidhiwe. Imagine landlord unaanza na mtaji wa nyumba 3,000+.

Pole ni kwa kodi ya Mtanzania.
Umeona mbali mkuu.
Hivi wako wapi akina faiza Foxy mtetezi wa Dr. Dau?
Wake wamtetee maamuzi yake kwenye mradi huu. Serikali imesema mradi siyo mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…