Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Uhasilia wa nature reserves lazima ulindwe.

Bora Mwarabu ajenge hotel za kuleta watalii kuliko kuacha human activities ziaribu eco-system ya wanyama pori. Masai inabidi atoke maeneo ya wanyama pori kwa hiyari au kwa shari.
 
Mkuu kwenye hili suala zima unachokiona wewe ni wamasai tu kuwa hawataki kuhamishwa kwa sababu tu wao ni wamasai?
 
Unaweza ukawa unafanya jambo sahihi ila ukatumia njia ambazo si sahihi, nguvu kubwa inayotumika kwenye hili jambo ndipo imeleta tofauti na kuhamishwa kwa hao wengine. Nakwambia unashabikia kwa sababu kwanza unajulikana misimamo yako kwenye hii serikali, na jinsi unavyolijadili hili suala umejiweka upande wa serikali dhidi ya wamasai na kuona hili suala zima ni kwamba wamasai hawataki kuondoka kisa wao ni wamasai tu basi, na inaonyesha huwachukulii hao wamasai kama nao ni watanzania.
 
Akili za mlevi
 
WATU WASIKURUPUKE, KWA HISIA ZA KIPUMBAVU, NGULI WA SHERIA YUPO KAZINI, VERY SOON, ATALETA MREJESHO HAPA NINI KINAFANYIKA, LET BE PASSION.
 
Mh Ndugai alishasema ipo siku Nchi hii itauzwa, sasa ndio yanajithihirisha kila kitu chenye thamani Tanzania kipo sokoni. Job Ndugai hoyeeee!!!!!!
 
Huyu Mama mwakani ataktwa na wakati mgumu sana.

Kutapanya maliasili za watanganyika, rushwa, wizi, ufisadi, uovu, unyanyasaji na ukatili wa vyombo vya dola , utekaji na mauaji pamoja na raia kupotea vitamuweka pabaya sana yeye na CCM yake yote hata kama wataiba uchaguzi.

Muda utaongea.
 
Noma sana.
 
Nyie ndio wanafiki. Wapinzani sio ndio hao kutwa kuteswa na Polisi na raia tumekenua tu meno ukiwemo wewe.
Tatizo hata walipopewa nafasi kidogo hakuna walilofanya hata ndani ya vyama vyao wanayoyahubiri na wanayoyafanya tofauti kabisa mfano tulikuwa tunapinga JPM asijingezee Mihura lakini mbowe kila siku anajiongezea tulikuwa tunapinga ubadhirifu ripoti ya CAG imewakamata mara ngapi na ubadhirifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…