Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwenye hili suala zima unachokiona wewe ni wamasai tu kuwa hawataki kuhamishwa kwa sababu tu wao ni wamasai?Wanafukuzwa au wanahamishwa ? Mara ngapi jamii zingine zimehqmishwa kupisha migodi au maendeleo ya jamii? What is so spesho Kwa masai?i
Ni ujinga kuleta siasa za kipumbavu hizo za ukabila kwenye ishu ya Ngorongoro,eti Waarabu..Kama ni ishu ya Waarabu Wazungu wapo hapo kabla hata ya hao unaoita Waarabu.
Masai wanahamishwa Kwa shughuli za uhifadhi, Vijijini vingi sana hapa Tanzania vimefutwa kisa uhifadhi zote huko wapo Waarabu? Acheni ujinga basi
Unaweza ukawa unafanya jambo sahihi ila ukatumia njia ambazo si sahihi, nguvu kubwa inayotumika kwenye hili jambo ndipo imeleta tofauti na kuhamishwa kwa hao wengine. Nakwambia unashabikia kwa sababu kwanza unajulikana misimamo yako kwenye hii serikali, na jinsi unavyolijadili hili suala umejiweka upande wa serikali dhidi ya wamasai na kuona hili suala zima ni kwamba wamasai hawataki kuondoka kisa wao ni wamasai tu basi, na inaonyesha huwachukulii hao wamasai kama nao ni watanzania.Sikuelewi kwanza Mimi sio shabikia ila naeleza jinsi imefanyika else where ila hapo Kwa Masai mnataka kufanya siasa za kipuuzi sijui mnataka kumfaidisha nani.
Samia hakutunga sheria iliyozuia Masai kuishi hapo ila ametekeleza sheria kulinda Hifadhi ikizingatiwa wameongezeka Kwa kiasi kikubwa kuzidi idadi iliyoruhusiwa.
Masai Wana hamishwa Ina mnasema wananyanyaswa,hapa nani ni shabiki?
Pili Jamii zingine na watu waliohamishwa maeneo Yao kupisha maendeleo sio Watanzania ila masaia ndio Watanzania sana si ndio? Nikisema Masai ni WaKenya utabisha? Acheni utoto basi.
Akili za mleviKule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye diraHuyu Mama mwakani ataktwa na wakati mgumu sana.
Nyie ndio wanafiki. Wapinzani sio ndio hao kila siku kutwa kuteswa na Polisi na raia tumekenua tu meno ukiwemo wewe.Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
Noma sana.Huyu Mama mwakani ataktwa na wakati mgumu sana.
Rushwa, wizi, ufisadi, uovu, unyanyasaji na ukatili wa vyombo vya dola , utekaji na mauaji pamoja na raia kupotea vitamuweka pabaya sana yeye na CCM yake yote hata kama wataiba uchaguzi.
Muda utaongea.
HatersTatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
Wataanza kuwawinda sasa ili wawatoe kinguvuKaandika hayo katika mtandao wa X:
Tatizo hata walipopewa nafasi kidogo hakuna walilofanya hata ndani ya vyama vyao wanayoyahubiri na wanayoyafanya tofauti kabisa mfano tulikuwa tunapinga JPM asijingezee Mihura lakini mbowe kila siku anajiongezea tulikuwa tunapinga ubadhirifu ripoti ya CAG imewakamata mara ngapi na ubadhirifu?Nyie ndio wanafiki. Wapinzani sio ndio hao kutwa kuteswa na Polisi na raia tumekenua tu meno ukiwemo wewe.
Wewe kwenye familia yako tu umefanya nini?Tatizo hata walipopewa nafasi kidogo hakuna walilofanya hata ndani ya vyama vyao wanayoyahubiri
Nmekuongeza wewe kama mke wa piliWewe kwenye familia yako tu umefanya nini?