Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.

Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.

Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Rudishieni masimbi kwa waarabu au wapeni tigo wawa samehe siye ardhi hatuachii ng'o na hizo hongo za msomera mkalale huko Umbwa nyie wa porini kabisa
 
Ujinga huu hautakusaidieni,Mlizaliwa na Ardhi nyie.

Badala ya kutukana hovyo jikite kuamua kupambana au kuondoka
 
Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.

Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.

Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Kwenye hili nakuunga mkono....Ardhi ni ya serikali, maamuzi yazingatie manufaa ya Taifa zima....
 
Mwee....mweee nyie

ni machawa tu wa ccm hamna pointi.....wapinzani bado wapo na wapo Persistent and determined......mnakuwa heart broken kwa kuwa kuna maslahi binafsi mlikuwa mnayatafuta baada ya kuyeyuka ndio mkakata tamaa.
maslahi gani? Ukweli ni huo siasa za tanzania zimebadilika sana ni tofauti na ilivyokuwa 2005-2015. vijana hasa wa vyuo walikuwa na mwamko wa siasa hasa wakiunga mkono chadema na walikuwa proud. sasa vijana hao wameguka kuwa machawa wa ccm wakitafuta uteuzi.
ilikuwa burudani sana kusikia wapinzani wakiibua madudu na kutema cheche bungeni ambapo mwisho walikuwa hata wabunge wa ccm wanaungana nao ila sasa mambo yamebadilika ni kama vile nchi inapitia zama za giza.
 
Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;

Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.

Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.

Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.

Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
View attachment 3074791
 
Kuna matatizo makubwa sana kwenye suala hili. Serikali naona kama vile inatapatapa vile.

Endapo kama kweli Serikali Ina Nia njema kuhusiana na suala hili la kuwahamisha hao Wamasai kutoka huko Ngorongoro, kwa nini itumike nguvu nyingi na kubwa sana namna hii?? Je, mikutano au vikao vya wazi kati ya Serikali na hao Wananchi kuhusu maandalizi ya suala hili la kuwahamisha viliketi lini na wapi?

Kwa nini kwa upande wa Serikali Kuna usiri mkubwa sana juu ya michakato ya suala hili?

Je, taratibu zote za kisheria zimefuatwa katika Mchakato mzima wa kuwahamisha watu hao? Je, kila mhusika anayepaswa kuhama tayari ameshalipwa haki zake zote kabisa stahili kabla ya kutakiwa kuhama kutoka kwenye maeneo hayo?
Na kwanini (kama ni lazima) wahamishiwe Tanga?

Na kama ni vijiji 25 tu, kumbe ni obvious kuwa bado eneo kubwa tu la Ngorongoro na vijiji vyake haviko kwenye mpango huu wa kufutwa..

Kama ni hivi, ni kwanini wasilipwe fidia zao tu na kila mtu ajue mwenyewe wapi atakwenda kuamua kwenda kuweka makazi yake ndani ya maeneo yao hayohayo ya asili badala ya kuwalazimisha kwenda mbali kote kule Msomera, Tanga tu?
 
maslahi gani? Ukweli ni huo siasa za tanzania zimebadilika sana ni tofauti na ilivyokuwa 2005-2015. vijana hasa wa vyuo walikuwa na mwamko wa siasa hasa wakiunga mkono chadema na walikuwa proud. sasa vijana hao wameguka kuwa machawa wa ccm wakitafuta uteuzi.
ilikuwa burudani sana kusikia wapinzani wakiibua madudu na kutema cheche bungeni ambapo mwisho walikuwa hata wabunge wa ccm wanaungana nao ila sasa mambo yamebadilika ni kama vile nchi inapitia zama za giza.
Waliogeuka kuwa machawa waccm ni wasukuma waliomfata Jpm.

Wao walikuwa hawajali jamaa anavurunda au la ispokuwa Kabila tu.
 
Back
Top Bottom