milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mkurugenzi Moshi Manispaa: Soko la Kiusa, Mkoani Kilimanjaro ni chafu
Hii ni Hali ya Miji WA Moshi manispaa, Mkoani Kilimanjaro. Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa. Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni...