Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Na ukiona inatumia nguvu hivi, basi tutambue kabisa kuwa HAWANA SABABU TANGIBLE ZINAZOWEZA KUELEWEKA KIRAHISI KWA KILA MTU ZA KUWAHAMISHA HAWA WAMASAI..!serikali hii ni mbovu tu; haijui kushawishi. Kuhamisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ni la kawaida sana ila huwa halifanyiki kwa nguvu. Nyerere alihamisha watu kutoka kisiwa cha Ukara kwenda Sengerema na Geita na mpaka leo wanaishi vizuri na wala hakuna aliyelalamika kwa sababu walielimishwa kwanza halafu wakapewa uhuru wa kuamua ama kuhama au vipi. Nyerere pia alihamisha wamasai wengi sana kuwapeleka maeneo ya Morogoro na Iringa bila kuwalazimisha bali kwa kuwaelimisha na kuwashahwishi. Serikali hii inakosea kwa kutumia nguvu.
Wakongo na Warundi wanakimbilia Tz kuomba hifadhi wewe unataka kuhamishiwa kwao, afanalek!Wa kigoma tuhamihmshiwe congo au Burundi manna wilaya zetu zipo mbili
You might be rightNa ukiona inatumia nguvu hivi, basi tutambue kabisa kuwa HAWANA SABABU TANGIBLE ZINAZOWEZA KUELEWEKA KIRAHISI KWA KILA MTU ZA KUWAHAMISHA HAWA WAMASAI..!
Hili zoezi kiukweli kabisa halifanyiki "manufaa ya umma"..
Kwa hakika na bila shaka yoyote, ni kuwa zoezi hili linafanyika "for personal interests" za Rais Samia Suluhu Hassan na watu wake ndani ya serikali/CCM na ndiyo maana linapata upinzani mkali kabisa kuwahi kutokea..!!!
Lingekuwa kwa manufaa ya umma, basi lingekuwa shirikishi kwa wadau wote na lingefanyika kwa uwazi kabisa na pia Bunge kuridhia kwa azimio maalumu..
Aisee this made my day!!Hivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
Mwakeye - Hamieni Burundi ni Karibu zaidi kuliko Hata Dar.Wa kigoma tuhamihmshiwe congo au Burundi manna wilaya zetu zipo mbili
Ili ziwe chini ya milki ya UAEKwahyo wamezfuta ili iweje sijaelewa bado
Unalaumu tu kana kwamba huu wewe sio wajibu wako..Tatizo Tanzania hatuna upinzani wenye dira
Kwa hiyo ndiyo kusema hiyo Wilaya yote kwa sasa ni mali ya Waarabu!! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kupigania Uhuru!!Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
Nayo imefutwa?Rombo πππ
Rombo ni kama iko Kenya πNayo imefutwa?
Mpakani, sawa sawa wilaya ya kankonko na wilaya zingine zilizopo mpakaniRombo ni kama iko Kenya π
Wamesahau hiliπππJe ni halali mbunge wa Ngorongoro kuendelea kuwepo bungeni? Anamwakilisha nani? Wanyama na misitu!