Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

Hii nzuri.
Nimeipenda.
Kelele zitaishia kwenye simu basi.
Mwabukusi na Lissu ndio watetezi wa wananchi lakini cha ajabu wananchi wanawaona wapuuzi.
Comasava , Simba na Yanga ndio wanachokipenda
Kuwa mwangalifu, masuala nyeti kabisa kama haya Serikali haipaswi kuyafanyia papara au kuyafanyia Uamuzi wa kukurupuka na jazba, hekima na busara kubwa sana inahitajika katika kushughulikia masuala haya, unless otherwise inaweza kusababisha nchi kuingia kwenye mtafaruku mkubwa ambao kwa upande mwingine unaweza kuwa chanzo Cha nchi kusambaratika kabisa. Uzoefu duniani kote unaonyesha kwamba Tawala ambazo zimejaribu kuwanyanyasa au kuwahamisha kwa nguvu "indigeneous communities" kama Wamasai zimekuwa zikikumbwa na misukosuko mikubwa, na kusababisha hata baadhi ya Tawala hizo kuanguka vibaya.
 
Mtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute
Wamasai wanajitambua na wanafahamu wanachokipigania. Ficha ujinga wako aisee.
 
Mtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
utumwa ni kansa hatari!
 
Ngorongoro ipo katika world heritage, ni muhimu kuilinda isitoweke, ikaja kugeuka jiji la ngorongoro!, masai wamezaliana na kuongezeka kupelekea kuhatarisha hifadhi husika.
We ni mpuuz tu kwahyi kikwete hakuona umuhimu wa kuwaondoa? Mkapa? Nyerere? Magufuri? Mama yako asha ndio aone umuhimu mjinga sana wewe
 
Mtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
Ninyi ndio mnafanya jamii forum iwe kama Facebook kwa mawazo yenu ya kipumbavu
 
Tatizo la hii serikali hata kama inafanya jambo sahihi na kwa nia njema ila tatizo linakuja kwenye jinsi ya kulitekeleza.
 
Hivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
masai sijui waende wapi manake hata zanzibar tu hawawataki wanasema hawaendani na tamaduni za kizanzibari.
 
Ninyi ndio mnafanya jamii forum iwe kama Facebook kwa mawazo yenu ya kipumbavu
Heshimu mawazo ya wengine.
Kupingana kwa hoja ndiyo malengo ya jamiiforums.
Jamiiforums ni jukwaa huru kwa kila mmoja kutoa mawazo yake bila kuvunja sheria za nchi na miongozo ya jukwaa.
Hivyo siyo lazima na haiwezekani maoni yetu yafanane.
 
Mara mseme mnawaonea huruma huko hawana huduma, mara huko ni porini, dalili ni kuwa mtawaulia wote huko, kumbukeni hiyo jamii iko kivingine kabisaaa!!
Ile jamii ya zamani ni sawa,lakini hii ya sasa wengi ni chawa wa CCM
 
Mtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
Siamini
 
Back
Top Bottom