Kwamba ni ya kuogopa na kuacha ilivyo?! Ndo hivo!Mara mseme mnawaonea huruma huko hawana huduma, mara huko ni porini, dalili ni kuwa mtawaulia wote huko, kumbukeni hiyo jamii iko kivingine kabisaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ni ya kuogopa na kuacha ilivyo?! Ndo hivo!Mara mseme mnawaonea huruma huko hawana huduma, mara huko ni porini, dalili ni kuwa mtawaulia wote huko, kumbukeni hiyo jamii iko kivingine kabisaaa!!
usicheze na serikali maamuzi yake kuwa ni magumu sana haina kuremba,kazi iendelee..
Wamasai siyo special specie,wahame,jamii zingine mbona zilihamishwa!?
Kuwa mwangalifu, masuala nyeti kabisa kama haya Serikali haipaswi kuyafanyia papara au kuyafanyia Uamuzi wa kukurupuka na jazba, hekima na busara kubwa sana inahitajika katika kushughulikia masuala haya, unless otherwise inaweza kusababisha nchi kuingia kwenye mtafaruku mkubwa ambao kwa upande mwingine unaweza kuwa chanzo Cha nchi kusambaratika kabisa. Uzoefu duniani kote unaonyesha kwamba Tawala ambazo zimejaribu kuwanyanyasa au kuwahamisha kwa nguvu "indigeneous communities" kama Wamasai zimekuwa zikikumbwa na misukosuko mikubwa, na kusababisha hata baadhi ya Tawala hizo kuanguka vibaya.Hii nzuri.
Nimeipenda.
Kelele zitaishia kwenye simu basi.
Mwabukusi na Lissu ndio watetezi wa wananchi lakini cha ajabu wananchi wanawaona wapuuzi.
Comasava , Simba na Yanga ndio wanachokipenda
Wamasai wameishi huko tokea enzi na enzi na walikuwa wanaishi na Wanyamapori.Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,wahame
Wamasai wanajitambua na wanafahamu wanachokipigania. Ficha ujinga wako aisee.Mtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute
utumwa ni kansa hatari!Mtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
Hizo ni sababu nyepesi sana,idadi ya watu ni kubwaWamasai wameishi huko tokea enzi na enzi na walikuwa wanaishi na Wanyamapori.
Sana kushinda uwiano uliokuwa unatakiwa Kwa ikolojia.
Pia hao watu wanatakiwa.kuishi kama binadamu wengine na sio kuwaacha wawe kama wanyama.
Nyie ambao mnadhani mtaweza,mnawasaidia Masai au?Hamtaweza
ukute kipindi yuko cuf huenda alifanya hadi ugaidi na hakuogopa serikali,heri mchawi kuliko mnafiki!Habari ya Zenji mkuu?
Waaraabu wamewafanya nini mpaka mnnauza ndugu zenu?Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,wahame
We ni mpuuz tu kwahyi kikwete hakuona umuhimu wa kuwaondoa? Mkapa? Nyerere? Magufuri? Mama yako asha ndio aone umuhimu mjinga sana weweNgorongoro ipo katika world heritage, ni muhimu kuilinda isitoweke, ikaja kugeuka jiji la ngorongoro!, masai wamezaliana na kuongezeka kupelekea kuhatarisha hifadhi husika.
Ninyi ndio mnafanya jamii forum iwe kama Facebook kwa mawazo yenu ya kipumbavuMtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,
masai sijui waende wapi manake hata zanzibar tu hawawataki wanasema hawaendani na tamaduni za kizanzibari.Hivi,kule kisiwani Zanzibar wale binadamu wanafanya nini kule?Kwa nini wasihamishiwe Shinyanga ili watalii wakione kisiwa hicho kwa uzuri zaidi?Wanatukosesha mapato wale.Zanzibar island(s) is for tourism industry!Zanzibar ni kwa ajili ya uchumi wa kibuluu.
Wamasai nao ni watanzania, ila kwa jinsi unavyoshabikia hili suala hauonyeshi kuwa hiyo Ngorongoro ni mali ya watanzania.Ndio maana Vijijini vya Mbarali na Iringa vilifitwa Kwa Ajili ya Hifadhi ya Ruaha.
Ngorongoro sio Mali ya Masai ni Mali ya Tanzania,wahame.
Heshimu mawazo ya wengine.Ninyi ndio mnafanya jamii forum iwe kama Facebook kwa mawazo yenu ya kipumbavu
Ile jamii ya zamani ni sawa,lakini hii ya sasa wengi ni chawa wa CCMMara mseme mnawaonea huruma huko hawana huduma, mara huko ni porini, dalili ni kuwa mtawaulia wote huko, kumbukeni hiyo jamii iko kivingine kabisaaa!!
SiaminiMtu anahamishiwa eneo ambalo lina miundombinu yote barabara nzuri umeme maji anapewa nyumba mpya ya room 3 anapewa shamba la hekali 2 anapewa ngombe wa3 anapewa gunia 10 za mahindi kama haitoshi na bado anapata cash tsh 10ml; bado analeta ubishi wa kiduanzi tu,, yaani hawa lolote liwakute tu,,