Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
majutro, makasiriko na mihemko mtabaki nayo wewe na uliemtajaTangazo batili! Serikali itajuta kumuachia Mwabukusi kuwa Rais wa TLS!

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majutro, makasiriko na mihemko mtabaki nayo wewe na uliemtajaTangazo batili! Serikali itajuta kumuachia Mwabukusi kuwa Rais wa TLS!

Thubutu😁😁 ila mama na mkwe ananifurahisha sana.... Yaani nchi hii wanaiongoza kinamna kweli😁😁Wangefuta Kizimkazi.
Sema nataka kwenda hifadhi ya wanyama Ngorongoro!Kwahiyo Sasa hivi nikitaka kuenda wilaya ya ngorongoro nisema nataka kuenda wapi Ili nieleweke naenda wapi?
Au niseme nataka kuenda vitalu vya Dubai?
Dawa inachemka!majutro, makasiriko na mihemko mtabaki nayo wewe na uliemtaja![]()
Serikali kupitia kifungu cha 30 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287 kinachotoa ruhusa kwa mamlaka za Serikali kufanya mgawanyo wa Halmshauri za Wilaya;
Imetoa AMRI rasmi iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024; ili kufuta baadhi ya maeneo ya kiutawala kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Amri hii rasmi sasa inafuta Kata, Vijiji na Vitongoji katika Halmashauri za Wilaya zifuatazo; Ngorongoro, Bahi, Chemba, Kasulu, Kakonko, Hai na Rombo.
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro pekee, kupitia AMRI hii, Serikali imezifuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96.
Garatwa,
Dar es Salaam, Tanzania.
20 Agosti, 2024.
View attachment 3074791
na hiyo homa itatulia tu Panadol iko ya kutosha kwa mujibu wa sheria 🐒Dawa inachemka!
Hata nikitaja mtanifanya nini wachumba tu nyinyi. Kuandika tu kwenyewe tu shida.Taha majina yako Karatu na mahalo lipo kwa sasa
Sheria zinazo kandamiza wananchi mnapemda kweli zifuatwe tena na vifungu kabisa mnaoneshana ila zinazo ibana serikali na watu wake wala hata hamziongelei kabisaaa hata kama zimekiukwaMasai kasomeni Sheria ya Ardhi namba 4 ya mwaka 1999. Tatizo mnajazwa upepo na wanasiasa uchwara na NGOs wasioishi Ngorongoro
Kwann wanafutiwa vijiji vyao karibu na uchaguzi? Taarifa zimehamishiwa Msomera kama mtu kaamua kuhamia Ifakara je? Taarifa zake zikoje kwani lazima Msomera?Dogo! Haki ikitendeka hakuna mzozo. ukiona hivyo ccm waisha fanya Dili aridhi ya wananchi
Anakandamizwa Nani?Sheria zinazo kandamiza wananchi mnapemda kweli zifuatwe tena na vifungu kabisa mnaoneshana ila zinazo ibana serikali na watu wake wala hata hamziongelei kabisaaa hata kama zimekiukwa
Kule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Sawa hizo hoteli zipo kibao tuu humo ndani na haijawahi haribu mazingira,kama ni Madini ni sawa kabisa yanatakiwa yachimbwe maana kote kwenye Madini watu walihamishwa.Wajanja wanataka ardhi... Juu waweke hotels, chini wachimbe madini!
Bi tozo alishasema Simba na tembo hawali madini. Sasa anataka yachimbwe!
Wamepelekwa handeni wakajengewa na kuwekewa huduma zote muhimu lakini hawaelewi ..... Ogopa Sana MTU ambae anakaa kuangalia serikali imekosea ili asemeKule ni hifadhini sio makazi ya binadamu,Masai sio wa kwanza kuhamishwa kwenye Hifadhi.Imefanyija hivyo Ruaha,imefanyika hivyo kwenye migodi ya Madini na imefanyika hivyo maeneo mengine kupisha maendeleo.
Kipawa pale Hadi Leo hii watu wanadai fidia lakini Masai wanahamishwa na kulipwa Kila kitu nk nk.
Kwamba Masai ndio spesho sana au? Ngorongoro ni Mali ya Tanzania sio Masai.
Section 4 ya TLS itafanya kazi labda muifute!na hiyo homa itatulia tu Panadol iko ya kutosha kwa mujibu wa sheria 🐒
kwani hiyo section ilikua hakuna wakati wa wenye kiburi na jeuri walipokua mabosi wa TLS japo sifahamu inaeleza au kuhusu nini 🐒Section 4 ya TLS itafanya kazi labda muifute!