Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Kumbe kupekuliwa kifaa Chalo Kama simu na laptop mpaka mahakama itoe kibaliiiiiiiiiiiiiiiiiii happy nimewaelewa
Hiyo kwa Boniyai tu mkuu ambae wanajua wakiyakoroga yatazuka mengi kwa kuwa kesi inafuatiliwa na wengi.....mie na wewe kwa askari wetu walivyowababe unaweza kung'ang'anizwa mpaka utoe ikiwezekana hata kuminywa minywa mazagazaga
 
Icloud inatolewa vizuri bila madhara yoyote mkuu.
Technology inakua kila siku. Ila kisheria sawa itashindikana
Inategemea unatumia ios ipi,si ios zote zinapitika. Na pia kuna madhara ya kutoa icloud kwa brute force. Upotevu wa data ikiwa ni moja wapo, so kama wanataka access wajue data zitapotea which ni against malengo

Simple way ni kuwa contact apple, maana wao hutoa access kwa mamlaka husika in event ya criminal charges
 
Ni kinyume na sheria.
Ila nothing is impossible. Siongelei theory, nina uhakika.
Hizo security zimewekwa na wanadamu au malaika?

Niamini mimi mkuu, security ya apple kwenye IOS mpya haifunguki kirahisi kama android. Ni JIWE lile aisee. Labda baada ya miaka 7 ijayo ndo kidoogo watu wataweza kubypass baadhi ya matoleo.
 
Inategemea unatumia ios ipi,si ios zote zinapitika. Na pia kuna madhara ya kutoa icloud kwa brute force. Upotevu wa data ikiwa ni moja wapo, so kama wanataka access wajue data zitapotea which ni against malengo

Simple way ni kuwa contact apple, maana wao hutoa access kwa mamlaka husika in event ya criminal charges
Nilie m quote alisema haiwezekani.
Anyway ngoja mambo yasiwe mengi, kwa ground mambo ni tofauti mkuu.
 
Back
Top Bottom