kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 613
- 791
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika.
Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa.
Zaidi, soma:
www.jamiiforums.com
Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa.
Zaidi, soma:
Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya
Wananchi wa kata ya Ifumbo wilayani Chunya wameripotiwa kuugua ugonjwa usiofamika ambao mtu akiugua anatapika damu mpaka anapoteza maisha, na mpaka sasa tayari watu zaidi ya 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wanaendelea kuugua, hali ambayo imesababisha halmashauri hiyo kuomba msaada wa...