Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hii ndio Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima na wao washike adabu kidogo,,maana hawakomi..Wangedili na huyo Mganga Mkuu wa eneo husika, hao ITV mtawaonea bure.
Iliyoharibiwa na wachache wenye ukichaa wa madaraka, wasiojali maisha ya Watanzania.Hii ndio Tanzania
Lakini hatukumchagua bali alijichagua na kutangazwa na nec kwa mjibu wa katiba ya CCMWeWenye akili walitusihi watanzania tusimchague mwehu kutuongoza haya ndiyo madhara yake
Hao wataalam wametua Chunya wakiwa na .ajibu yao mfukoni
ITV wamekosea wapi, wakati wametoa taarifa kutoka kwa diwani, then mganga mkuu.
Hta angehojiwa hana ujasiri wa kusema chochote. Hii serikali inaongozwa kwa matashi ya mtu mmoja na mbaya zaidi ana hitalafu fulani upstairs. Kama covid iko wazi na watu wanafariki lakini serikali inakanusha ije kuwa huo ugonjwa ambao uko sehemu moja huko vijijini? Inawezekana hata ikawa ebola lakini mtu mmoja akishasema hakuna iwe siri basi hakuna wa kumbishia.Mheshimiwa diwani ambaye ndiye shahidi namba moja hakuhojiwa
Ile shule ya Moshi ilitoa tamko la kweli na wakatishiwa ikabidi wakanushe hivyo awamu hii tuombe Mungu kusitokea milipuko mingi ya magojwa la sivyo tutaisha´. Ugonjwa kama ebola ukiingia (Mungu pisha mbali) itakuwa maafa. Si ajabu ikatoka amri wanaougua apigwe risasi ili isijulikane.Wala hawakwenda kuchunguza chochote, sana sana utakuta wameishia kwenda kutoa vitisho.
Aaaah
Sema wazi kuwa na wewe ni timu ya kusifu na kumwabudu Jiwe.Sometimes jiwe
Huwa anabetigi kwenye haya Mambo na kwa kiasi flani anapatia
Kunakipindi yule mama wa nimri alitangaza uwepo wa ebola na akafukuzwa Kazi mara moja
Kwenye corona Napo Kama kafanikiwa kwa kiasi flani
Hata hapa naona yupo sahii
Hakuna haja ya kutengeneza taharuki
Sure maana kuna statement ukiitoa inaonyesha unajali na unachukua hatua...mf tumefika eneo la.tukio tumehoji watu kadhaa tumechukua sample za wahonjwa na postmoterm za maiti so tutawaletea mrejesho kama ni ugonjwa ni ugonjwa gani na kama sio ugojwa ni nini....Wala hawakwenda kuchunguza chochote, sana sana utakuta wameishia kwenda kutoa vitisho.
Hivi nyie hua mnajua taratibu za kazi,hivi kama dokta amegundua ugonjwa mpya kwa nini hakuwasiliana na wakuu wa kazi,ili wao ndio watutangazie wana inchi kuna mamulaka zina husika na hayo mambo kwa kufuata utaratibu,sio kila mutu tu ameshiba makande anajitokeza kuleta taharuki kwa taifa bila sababu za musingi ote mnaopinga hamjielewi kabisa,hata hao itv wali paswa kuwasiliana na mamulaka ili kujirizisha kwanza kwa sababu hizohizo za kutokuleta taharuki kwa taifa.CCM na mwenyekiti wao Jiwe ni kama bibi kizee mchawi akizoea kula nyama za watu haachi, Hawa CCM ndio wachawi wakuu wa nchi hii,wanajiskia raha wakiona wananchi wanakufa, ITV na watu wa Ifumbo sio wajinga kusema kuna ugonjwa umeibuka watu wanakufa, sasa wasingizie vifo na ugonjwa kwa faida ya nani? CCM haina upendo na watu ila ina upendo na madaraja,barabara na ndege,kila kitu serikali hii kukanusha tu badala ya kufuatilia kwa kina na kuja na majibu yanayoeleweka.
Hivi nyie hua mnajua taratibu za kazi,hivi kama dokta amegundua ugonjwa mpya kwa nini hakuwasiliana na wakuu wa kazi,ili wao ndio watutangazie wana inchi kuna mamulaka zina husika na hayo mambo kwa kufuata utaratibu,sio kila mutu tu ameshiba makande anajitokeza kuleta taharuki kwa taifa bila sababu za musingi ote mnaopinga hamjielewi kabisa,hata hao itv wali paswa kuwasiliana na mamulaka ili kujirizisha kwanza kwa sababu hizohizo za kutokuleta taharuki kwa taifa.
Si umeambiwa walikuwa na vidonda vya tumbo (Peptic Ulcer Disease) vilivyo erode blood vessel na kusababisha hemetemesis (kutapika damu).Kwahiyo hao watatu ni ugonjwa gani umewakumba..!?
Wanaogopa itakuwa Ni special mutated Covid 19Hii serikali sasa hivi inakanusha kila kitu, wamekuwa too predictable mpaka wanapoteza maana, kwani wakisema upo ila wanachukua hatua kuudhibiti na kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kuna tatizo gani?
Huu ushamba sasa ni too much na sijui utakwisha lini.