wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Anafukuzwa kijanjaDaktari anasimamishwa kupisha uchunguzi
Wakati kamati tayari ishamaliza uchunguzi na kukabidhi ripoti kwa waziri.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafukuzwa kijanjaDaktari anasimamishwa kupisha uchunguzi
Wakati kamati tayari ishamaliza uchunguzi na kukabidhi ripoti kwa waziri.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchawi umepandisha pepo, na serikali yako ya wachawi nayo ikisikia habari za sayansi inapandisha mapepo kama wewe.Pumbuvu wewe, na hiyo sayansi yako ilianza baada ya sayansi ya kichawi kuwepo!
Elewa Sana jinga wewe! Serikari ya kijinga inayopelekeshwa na mtu kama wewe hsipo, mbuzi mkubwa wewe, ulifikiri baada ya wewe kuleta tarifa za kipumbavu basi na Serikali ikubaliane na wewe? We jitu la wapi? Ebooh!
Huna hoja nimekupuuza rasimi!Mchawi umepandisha pepo, na serikali yako ya wachawi nayo ikisikia habari za sayansi inapandisha mapepo kama wewe.
Jambo lolote linaloweza kuleta taharuki, ni Lazima tarifa zake ziwe zimetolewa na wizara husika ama msemaji husika wa serikaliITV hawakutengenza habari hii.
Walihojiwa diwani wa kile chama pendwa cha CCM. Pia mganga mkuu wa wilaya wa huko wakitoa habari hiyo.
Hapo kosa lao ITV ni nini?
Kwa nini serikali hii imejikita kwenye kupotosha potosha habari za magonjwa ambayo kimsingi yapo kufanya kama hayapo?
Hata Mungu haitaki labda shetaniView attachment 1697377
Hii nchi hata kuiombea haiwezekani , tumuachie tu Mungu mwenyewe aamue kuchukua hatua kwa kadri atakavyoona inafaa .
Wazee wa kuficha fichaHuyo Mganga mkuu hajui Miiko na mipaka ya kiuongozi
Itakuwa kasahau kilichomkuta Mwele Malecela alipotangaza mambo ya Zika
Viongozi wa ngazi za chini wanapswa kusoma sana majukumu yao na mipaka yao ya kiuongozi
DeoKisandu