Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

.
JamiiForums329407765.jpg
 
Hata watu wa Zama za Kale wangerudi sasa hivi wangetushangaa jinsi mambo yanavyokwenda.

By they way hivi vyombo vya habari vyaweza kujikuta vinafilisika vyote ushauri wakijikite tu kwenye burudani (bongo fleva na telenolleva); this are Hard Times.
 
Ndio uozo tuliouweka pale juu haya ndio madhara ila Watanzania tumevunja rekodi hawa watu wanatuchukulia sie sijui ni watu wa aina gani.
 
Hivi itv hawajifunzi tu..?,katika mazingara haya,unaanzaje kutangaza ugonjwa bila idhini ya wizara husika?.
Wafungiwe hata maisha ili liwe fundisho kwa wengine..
Kwani wametangaza ugonjwa au habari???na ktk uandishi wa habari kama source wasingeitaja hapo kidogo ingekuwa shida!!sasa source yupo na ni kiongozi, wala kufumba habari zisitoke sio dawa!!ndio maana siku hivi habari za Tz,Kama hizi lazima zitangazwe na BBC, VOA na DW!!
 
Mbona chanel ten ambao nao walitangaza habari hii wao hawachukuliwi au kwa sababu ni chombo chenu?
 
Vile ITV inaenda kula kipondo.Waliishobokea CCM iliyochukua madaraka bila kibali cha wananchi wakafikiri ya kuwa wapo salama!
0659010.jpg
 
Back
Top Bottom