Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

Madaktari wa hivi sijuhi hata vyuoni walikuwa wanasomea nini......kuripoti mlipuko wa ugonjwa kwenye media sio sawa na kurusha udaku facebook!
Wengi hapa watakuja kukurushia mawe
 
Wazee wa kuficha ficha
Wewe ukienda hospitali kutibiwa daktari anapokufungulia faili na kuandika taarifa zako unadhani ni "show" tu....sasa kama hao wagonjwa walikufa...taarifa zao hazipo kwenye kituo cha afya walipotibiwa unategemea zipatikane wapi....na Daktari mzima hajui taratibu za kuripoti magonjwa ya mlipuko hadi kuamua kuunga tela kwa diwani.....madaktari wengine hovyo kabisa!
 
Ukiona serikali imeandika barua ndefu ujue kuna jambo so inajitetea tu.
Wakiandika fupi! Mkuu naomba nikufundishe jambo moja, binadamu haijalishi kasoma vipi au ana cheo kipi wote huwa tunaongozwa na hisia( mihemko) siku unapojifunza kuangalia jambo nje ya hisia zako basi hapo maisha yako yatakuwa mepesi,
 
Amesahau job description yake au job intaprenyu.
 
Kazi zina zinamiiko jamani,hasa kwenye matukio makubwa umakini unatakiwa sana sio kila mtu maemaji.hata vilabu vya mpira vina kocha,mashabiki,n.k lakini yupo msemaji wa timu.
 
Hewala hewala...mambo yanazidi kunoga katika nchi ya kusadikika
 
Wakiandika fupi.........! Mkuu naomba nikufundishe jambo moja, binadamu haijalishi kasoma vipi au ana cheo kipi wote huwa tunaongozwa na hisia( mihemko) siku unapojifunza kuangalia jambo nje ya hisia zako basi hapo maisha yako yatakuwa mepesi,
Asante Mkuu.
 
Badala ya kutafuta solution, waziri na team yake wanafight kuficha tatizo na kuintimidate watoa taarifa. Hatuwezi kuendelea na huu ujinga
 
"Hatuwezi kutatua matatizo kwa kujidanganya kwamba hayapo" - JK Nyerere.
 
Watz kwa pa1 tusipokuwa wamoja na kukemea huu ujinga, tutapukutika kama màjani! Imagine mtu amewatahadharisha juu ya ujio wa ugonjwa usiofahamika but jitu linakuja et siyo kaz yake. Yan tukusubr ww wazr ndo uje utangaze🤔🤔 roho za watu hazina spea!

Hii n nchi ya mashetani kweli kweli!
Hahahaa ukiwamo wewe mwenyewe, kubwa la mashetani.

Tulizeni mishono, hivi mnadhni inchi inongozwa kama mnavyofanya mapenzi vyumbani kwenu?

Fateni sheria ndugu. Ukuona shida ondoka nenda sehemu wanayo fyatukafyatuka nawe ukaishi huko.
 
Basi sawa jamani.. tuseme ugonjwa haupo, shida ni nn? 😷
 
Kwani imekuwaje huko Ifumbo tena ndugu zanguni??
 
Back
Top Bottom