Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hii serikali dhalimu haijawahi kukiri chochote kibaya inachofanya
Kwani huyu Msigwa anajua kila kitu ndani ya serikali au ni msema hovyo wa serikali? Mbona hajasema wanaotekwa na kuuwawa kama ni kweli au uongo?Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Huwa anajiona ni mjanja sn huyo mwendawazimukazi ya Msigwa ni kukanusha chochote negative dhidi ya serikali...hata kama kina ukweli!!.
Akifanya hivyo mwisho wa mwezi mzigo unasoma kwenye account.
Wameogopa kupelewa cha moto. Maana mengine huwa wanapiga kinyaHao ndio mabawana zao, wafadhili wao
It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
Ndumba mkuuHivi Msigwa ilikuwaje akapenya hadi huku?
Yule aliyeshushwa kwenye basi akauawa mbele ya Abiria wenzake alikuwa na upungufu katika uhai wake?.It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
Msigwa huwa namuona debe tupuSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Huenda ikawa kweli.Ndumba mkuu
Sisi tunashika ile kauli ya awali ya Wazungu tuSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Wanaua watu sembuse sumuSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Na katika hali ya kawaida hatukutegemea atoe taarifa tofauti na hiyo🤣🤣🤣🤣🤣Kwani huyu Msigwa anajua kila kitu ndani ya serikali au ni msema hovyo wa serikali? Mbona hajasema wanaotekwa na kuuwawa kama ni kweli au uongo?
View attachment 3392685
UchawiHivi Msigwa ilikuwaje akapenya hadi huku?
You seem to have forgotten what happened in September 2017...It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu