Serikali yakanusha tuhuma za mpango wa kumwekea Sumu Tundu Lissu

Hivi ile ya kumtwanga risasi 21 ilikuwaje tena? wauaji walikamatwa? walijulikana?
Sasa inaonekana hawa wa sumu ndio walewale wamekuja kwa style ingine!
 
Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.

Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.

Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.

Pia, Soma
Hata mlipo mpiga risasi kwenye majengo ya serikali mlikanusha kwamba hamhusiki
 
Ni mwendawazimu tu anayeweza kuamini utetezi huu wa serikali hii dhalimu, kama waliweza kufanya jaribio la kumuua kwa risasi watashindwaji kumuwekea sumu ili kumaliza kiporo walichobakisha 2017?
 
Lilikuwa kosa kumuweka lisu ndani,
Kumuua lisu ni kosa kubwa sana,
Itawagharimu nafasi zenu zote za uongozi
 
Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.

Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.

Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.

Pia, Soma
Nadhani waliotoa taarifa hawajakurupuka. Watakua wameipata toka hukohuko ndani huko
 
It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
N mpumbavu tu anayeweza kusema hivi. Lissu alipigwa risasi mchana kweupe ndani ya compound ya bunge tena kamera na walinzi wakaondolewa ije kuwa siri ya kifichoni? Hiki kigagula kinaweza kufanya chochote.
 
Serikali zote duniani huua na kamwe haiwezi kukiri. Regardless what.
Serikali zenye kujiheshimu zinaua magaidi na watu wabaya na siyo wapinzani. Hiki kibibi maushungi ni kiuaji na kuna siku inakuja ´na chenyewe kitashughulikiwa.
 
Hu
Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.

Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.

Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.

Pia, Soma
Hawa wazushi wa JF hawatauacha salama huu mtandao. Siku unafikiria mara mbili mbili kufungua JF, Kumevamiwa na watu wa hovyo wasio na akili, waliokufa dhamiri, mpk uchaguzi upite hakuna ambacho hakijaandikwa humu, uzushi, uwongo, uchochezi , chuki, ubaguzi kila uchafu. Ni muda wa kuwaachia haya mambwa
 
Wahusika mliokuwa high office, kabla ya kujibu tuhuma kama hizi mjipe muda wa kutafakari kabla ya kujibu, mambo mengine yanahitaji discussion zenye akili kuyajibu.

Nimewashauri tu kiasi, tusipende kuvimba shingo kwenye kila jambo sisi bado ni wachanga sana, tusijiingize kwenye changamoto kwa michezo hii yakijingajinga.

Ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Hu
Hawa wazushi wa JF hawatauacha salama huu mtandao. Siku unafikiria mara mbili mbili kufungua JF, Kumevamiwa na watu wa hovyo wasio na akili, waliokufa dhamiri, mpk uchaguzi upite hakuna ambacho hakijaandikwa humu, uzushi, uwongo, uchochezi , chuki, ubaguzi kila uchafu. Ni muda wa kuwaachia haya mambwa
Tikiti la mama
 
Ninyi kanusheni kama kawaida yenu lkn walio wengi wanafahamu ukweli ulipo.

Ukweli ni kwamba, wanakotoka wavujisha siri ndiko huko huko wanakotoka wakanushaji.
 
Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.

Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.

Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.

Pia, Soma
Mmekiri kulawiti na kubaka watuhumiwa
 
RUBBISH. Kwani mtakubali basi?
 
Waseme tu mpango wao umebuma
mwenzako anakuzidi hoja wewe unakimbilia sumu!
Upumbavu tu mkuu. Ndiyo maana nchi za kiafrika ni maskini kulinganisha na za wazungu. Mtu Kama kakuzidi akili fanya Jambo la akili kumzidi yeye. Si mtu akiwa na akili unaweza kumuuwa wabaki MAZEZETA.
 
Kwani huyu Msigwa anajua kila kitu ndani ya serikali au ni msema hovyo wa serikali? Mbona hajasema wanaotekwa na kuuwawa kama ni kweli au uongo?

Hawa ni watu wanaokulana wao kwa wao
View attachment 3392685
Aje akanushe na hizi tuhuma pia kwamba siyo za kweli. Kwa wale Wakristo wanafahamu habari ya uponyaji. Waliponywa kumi lkn mmoja tu ndiye aliyerudi kushukuru. Wale tisa wakapotelea kosikojulikana. Hata Yusufu alipotakiwa kuuawa na nduguze mmoja wao aliwaambia tusitende hivyo bali tumuuze kwa Wamisri akachunge kondoo huko.

Ninachotaka kusema ni hivi": mnapopanga jambo lolote lile hata kama ni baya lazima muwe zaidi ya mmoja. Kwenye kundi lile atatokea mmoja mwenye hofu ya Mungu. Atatoa siri iwe baada ama kabla ya kutendeka.
 
CCM na Serikali yenu hoja hazijibiwi kwa risasi wala sumu, hoja hujibiwa kwa hoja, mtaua hadi lini watu wanaowazidi akili?
 
Back
Top Bottom