Serikali yakanusha tuhuma za mpango wa kumwekea Sumu Tundu Lissu

Kwani huyu Msigwa anajua kila kitu ndani ya serikali au ni msema hovyo wa serikali? Mbona hajasema wanaotekwa na kuuwawa kama ni kweli au uongo?

Hawa ni watu wanaokulana wao kwa wao
Your browser is not able to display this video.
 
It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu


Ho linaweza lisiwezekane kwa utawala wenye watu wenye akili, siyo huu wa kwetu.

Fikiria Lisu walitaka kumwua kwa risasi akiwa kwenye compound ya Serikali, yenye camera, na gate linalindwa na askari.

Kwa utawala huu wa CCM, wanaweza kuingia kanisani ukiwa katikati ya waumini wenzako, wakakuua, na kesho wakamtuma Msigwa akanushe.
 
Serikali zote duniani huua na kamwe haiwezi kukiri. Regardless what.
 
Chadomo na mabwana zao wana viwanda vya kufyatua uzushi na kuropoka ili kuleta taharuki. Maadui wa nchi hii walishindwa, wanashindwa na wataendelea kushindwa.
 
It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
Yule aliyeshushwa kwenye basi akauawa mbele ya Abiria wenzake alikuwa na upungufu katika uhai wake?.

Moja ya sifa ya Watu wapumbavu ni kujiamini na Samia anazo sifa zote za upumbavu.
 
Nimepiga story na askali wa jeshi la wananchi rafiki yangu. Kaniambia anapenda zaidi mtu mwenye akili kubwa kama Lissu, awe rais wa Tanzania.
 
Msigwa huwa namuona debe tupu
 
Sisi tunashika ile kauli ya awali ya Wazungu tu
 
Wanaua watu sembuse sumu
 
It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
You seem to have forgotten what happened in September 2017...

They almost killed him with 16 hot Machine Gun bullets penetrating his body in an assassination attempt conducted in the daylight in the high profile government officials resident quarters which are always under very tense security installed with CCTV cameras...

Until today no investigation, no suspects...

Kwa hiyo: This government has stupid people with impunity of highest level who are ready to do any stupid stuffs anywhere and anytime regardless of the consequences or outcomes of their actions...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…