pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Hata mlipo mpiga risasi kwenye majengo ya serikali mlikanusha kwamba hamhusikiSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Ni mwendawazimu tu anayeweza kuamini utetezi huu wa serikali hii dhalimu, kama waliweza kufanya jaribio la kumuua kwa risasi watashindwaji kumuwekea sumu ili kumaliza kiporo walichobakisha 2017?Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Rubbish thinking! Poor memory.It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Lilikuwa kosa kumuweka lisu ndani,Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Nadhani waliotoa taarifa hawajakurupuka. Watakua wameipata toka hukohuko ndani hukoSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
N mpumbavu tu anayeweza kusema hivi. Lissu alipigwa risasi mchana kweupe ndani ya compound ya bunge tena kamera na walinzi wakaondolewa ije kuwa siri ya kifichoni? Hiki kigagula kinaweza kufanya chochote.It would be stupid to murder a high profile politician like Lisu. Tena yupo chini ya uangalizi wako, no way serikali inaweza amua hivi kwa wakati huu
Serikali zenye kujiheshimu zinaua magaidi na watu wabaya na siyo wapinzani. Hiki kibibi maushungi ni kiuaji na kuna siku inakuja ´na chenyewe kitashughulikiwa.Serikali zote duniani huua na kamwe haiwezi kukiri. Regardless what.
We mbwa koko hakuna mpumbavu km mamakoMsigwa ni mpumbabu sana
Hawa wazushi wa JF hawatauacha salama huu mtandao. Siku unafikiria mara mbili mbili kufungua JF, Kumevamiwa na watu wa hovyo wasio na akili, waliokufa dhamiri, mpk uchaguzi upite hakuna ambacho hakijaandikwa humu, uzushi, uwongo, uchochezi , chuki, ubaguzi kila uchafu. Ni muda wa kuwaachia haya mambwaSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Tikiti la mamaHu
Hawa wazushi wa JF hawatauacha salama huu mtandao. Siku unafikiria mara mbili mbili kufungua JF, Kumevamiwa na watu wa hovyo wasio na akili, waliokufa dhamiri, mpk uchaguzi upite hakuna ambacho hakijaandikwa humu, uzushi, uwongo, uchochezi , chuki, ubaguzi kila uchafu. Ni muda wa kuwaachia haya mambwa
Mmekiri kulawiti na kubaka watuhumiwaSerikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
RUBBISH. Kwani mtakubali basi?Serikali ya Tanzania inakanusha tuhuma zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikiihusisha Serikali na kinachodaiwa kuwa ni kuwepo mpango wa kumwekea sumu mshtakiwa Tundu Antipas Lissu.
Serikali inawaomba wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa hazina ukweli wowote. Tundu Antipas Lissu, anayetajwa na wanasiasa hao wa nje ya nchi, pamoja na taarifa kwa umma ya chama chake cha siasa, anakabiliwa na mashtaka Mahakamani kwa mujibu wa Sheria na anashikiliwa gerezani mpaka hapo shauri lake litakapohitimishwa na Mahakama.
Serikali haijawahi kuwa na mpango wa kumwekea sumu mtu yeyote aliyopo gerezani wala haina mpango wa kufanya hivyo kwa mtu yeyote. Taarifa hizo zimechapishwa kwa nia ovu ya kuchafua sifa na heshima kubwa ya Tanzania na tayari mamlaka zimeanza kuchukua hatua dhidi ya waliohusika kuchapisha na kusambaza uongo huo.
Pia, Soma
Upumbavu tu mkuu. Ndiyo maana nchi za kiafrika ni maskini kulinganisha na za wazungu. Mtu Kama kakuzidi akili fanya Jambo la akili kumzidi yeye. Si mtu akiwa na akili unaweza kumuuwa wabaki MAZEZETA.Waseme tu mpango wao umebuma
mwenzako anakuzidi hoja wewe unakimbilia sumu!
Aje akanushe na hizi tuhuma pia kwamba siyo za kweli. Kwa wale Wakristo wanafahamu habari ya uponyaji. Waliponywa kumi lkn mmoja tu ndiye aliyerudi kushukuru. Wale tisa wakapotelea kosikojulikana. Hata Yusufu alipotakiwa kuuawa na nduguze mmoja wao aliwaambia tusitende hivyo bali tumuuze kwa Wamisri akachunge kondoo huko.Kwani huyu Msigwa anajua kila kitu ndani ya serikali au ni msema hovyo wa serikali? Mbona hajasema wanaotekwa na kuuwawa kama ni kweli au uongo?
Hawa ni watu wanaokulana wao kwa wao
View attachment 3392685