Serikali yakanusha tuhuma za mpango wa kumwekea Sumu Tundu Lissu

Adui namba moja
Chadomo na mabwana zao wana viwanda vya kufyatua uzushi na kuropoka ili kuleta taharuki. Maadui wa nchi hii walishindwa, wanashindwa na wataendelea kushindwa.
Chadomo na mabwana zao wana viwanda vya kufyatua uzushi na kuropoka ili kuleta taharuki. Maadui wa nchi hii walishindwa, wanashindwa na wataendelea kushindwa.
Adui namba moja wa hii nchi ni CCM
 
Vipi ikitokea hao wananchi wakaipuuza hii taarifa ya serikali, na kuiamini taarifa ya awali!
 
Rubbish thinking! Poor memory.
Usikasirike. Amini kwamba sishindwi kukuandikia matusi lakini yawezekana hauna uhakika wa kula yako, wazazi wako wanaamini ukimaliza kozi yako uajiriwe uwaokoe. Una madeni na hujui utalipaje so una stress na sioni kama natakiwa kukuzidishia kwa kukutukana matako yako
 
N mpumbavu tu anayeweza kusema hivi. Lissu alipigwa risasi mchana kweupe ndani ya compound ya bunge tena kamera na walinzi wakaondolewa ije kuwa siri ya kifichoni? Hiki kigagula kinaweza kufanya chochote.
Hauna haja ya kunitukana.

Hizi ni scenario 2 tofauti. Kuna moja hata kukataa hauhusiki hauwezi
 
Ndio maana wanachelewesha mashtaka mahakama Kuu ili wamuue kwa sumu?. Walishindwa kwa risasi sembuse sumu. Serikali katili haijawahi tokea.
 
Kwa nini serikali aikukanusha Lisu kuwekwa katika zero la wafungwa waliokumiwa kunyongwa hadi kufa katika gereza la Ukonga? Serikali itueleze sababu za kumuweka katika zero hiyo ili hali hajahukumiwa. Vinginevyo tetesi au tu human zilizotolewa zinaweza kuwa na ukweli 99.999%
 
Msigwq, I know you are here! Kuna mahali umepuyanga mdogo wetu na Nina uhakika kuwa nafsi yako inajaribu kukuonya juu ya utekelezaji wa taarifa unazolamishwa kuziandika lakini unaidharau nafsi yako mwenyewe kwa kulinda sahani yako!
Ni hivi, ungesema serikali inachunguza juu ya suala Hilo na siyo kuchunguza nani ameipublish kwenye mitandao. Chunguzeni kwanza mdhibitishe Kama Ina ukweli au la na siyo hivi ulivyoandika. Ni wazo tu.
 
Miezi 3 upelelezi hauja kamilika wa neno la tutakinukisha, ambalo mtaani kwetu tunalitumia halafu hua hakinuki, kikikiki
 
Kuna sifa gani njema kwenye hii nchi kwa sasa? Serikali tunaiomba itujali na kututhamini raia wake. Tunaishi mara moja tu na siku za kuishi kwetu ni fumbo.

Inasikitisha sana raia WAZALENDO na wapenda nchi kufanyiwa matendo yanayo pinga ubinadamu wao.

Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…