Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

ukoo wa magufuli umekopa kwani dona kantri nazo huwa zinakopa?
 
YULE MSHAMBA ATASEMA TUTEMBEE VIFUA MBELE NCHI INAHELA, NI FEDHA ZETU WENYEWE.

TUNARAIS MUONGO HAIJAWAHI KUTOKEA
 
Leo Arusha mkuu utasikia tunajenga viwanja vyetu kwa fedha zetu wenyewe sisi Tanzania ni Matajiri sana. Wonders shall never end.........
 
Hizi ndio akili za kijinga za maccm,hata Kama sio kukopa aina ya vipaombele vya maccm havina maana kabisa kwa mtu wa kawaida hata hao middle class ni walimu,Hawa ndio watapanda ndege? Yaani wafanyabiashara wenye viduka vya mln 5-10 ndio watapanda ndege? Zero brain kabisa Hawa jamaa,ni juzi tu hapa Tzn ni moja ya nchi zenye maskini wengi Afrika bado ccm inakomaa na miradi tembo mweupe.

Mifano ipo mingi ya kuthibitisha hoja,uwanja wa mpanda toka umejengwa enzi za Jk ndio mwaka na mwezi huu airtzn inaenda Mara moja kwa wiki,hivyo ndivyo itakuwa kwa viwanja vya Shinyanga,Tabora na Sumbawanga.Songwe airport ina miaka lakini kuna kampuni moja tu inautukia ndo itakuwa huko kwingine?.Uwekezaji haulengi kuwainua kimaisha watu wa kawaida.

Nyie maccm mnakera Sana,jengeni viwanja au miradi strategic Kama Kigoma airport au uwanja kule Njombe ungesafirisha japo maparachichi,na Kama kawaida yenu wakandarasi ni mabwana zenu wachina.Hizo pesa ni Bora mungejenga barabara mikoa husika maana kwa pesa hizo ni zaidi ya km 100 .Kwa mkoa wa Rukwa kwa mfano mungejenga barabara ya kwenda bonde la ziwa Rukwa kutoka Ntendo/Sumbawanga-muze-Kasansa-Majimoto-Inyonga, wananchi wangewashukuru Sana maana mungewarahisishia biashara na mikoa ya Tabora,Mwanza nk wakauze nafaka zao kwa bei nzuri,sasa nyie ndugu sijui mlilogwa na nani kwa sera zenu hizi za ajabu ajabu.

Ila Mimi naona maccm muendelee hivyo hivyo na miradi tembo mweupe ili watakaowachagua wapigike kweli kweli ili incase mkishinda uchaguzi huu ,ujao uwe mwepesi kwa wapinzani,ko endeleseni speed ya kujenga jenga miradi isiyo na tija kwa common raia ili wapate akili.
 
Hongera Rais Magufuli kwa kuwajali Watanzania
Wale wale more than 28mln extremely poor waliotajwa na WB hapo juzi Kati ndio mnawajengea airports au sio.Nchi hii maskini watapata tabu Sana bahatimbaya ni maskini wa akili Hadi Mali maccm mnawatumia Kama ngazi na kuwanyonya hawwjielewi ndio hao huwa mnawasomba kwenye maroli na wanawapigia kura
 
Pesa zinajenga JMT tu (Tanganyika) ila SMZ (Zanzibar) haipati kitu wala haitizamwi! Sijui kama Zanzibar imepata mgao wake wa mapato ya gesi ya mtwara au kwanza mpaka tuchimbe mafuta ndio tupate mgao 😀
Mambo ya gesi na mafuta yemeshafutwa kwenye muungano hayapo tena
 
Mambo ya gesi na mafuta yemeshafutwa kwenye muungano hayapo tena
Yamefutwa lini na gesi imechimbwa lini Mtwara? JMT imekalia kuinyonya Zanzibar tu kwa sababu Tanganyika haijiamini na rasilimali zake!
 
Kwani mkopo si unaulipa kwa pesa zako za ndani kwani wanakulipia? Mna uelewa finyu sana Chadema ngoja tumalizane na nyie October 28 mtakuwa kama TLP

Wewe ni zaidi ya kiazi na unalitambua hilo, sema unaona aibu kukiri angalau hata kunyamaza. Fedha za ndani ni fedha zilizokusanywa kutokana na kodi, tozo na gawio za ndani. Fedha za mkopo nimetoka kwa wakopeshaji au misaada kutoka kwa mabeberu. Tofauti zinazoleta majina yake ni “chanzo”. Hata hivo wakubwa wako waliosaini makaratasi wazipate wanaelewa. Wakija kwako popoma wanakuambia tofauti na unasheherekea!!

Hivi kweli hata hili nalo ni gumu kuelewa??
 
Wewe ni zaidi ya kiazi na unalitambua hilo, sema unaona aibu kukiri angalau hata kunyamaza. Fedha za ndani ni fedha zilizokusanywa kutokana na kodi, tozo na gawio za ndani. Fedha za mkopo nimetoka kwa wakopeshaji au misaada kutoka kwa mabeberu. Tofauti zinazoleta majina yake ni “chanzo”. Hata hivo wakubwa wako waliosaini makaratasi wazipate wanaelewa. Wakija kwako popoma wanakuambia tofauti na unasheherekea!!

Hivi kweli hata hili nalo ni gumu kuelewa??
Huelewi mikopo pia hulipwa kwa pesa za kodi,tozo na gawio zilizokusanywa ndani
Wewe hujielewi.Tukisema tunatumia pesa za ndani ndio maana yake.Mikopo inalipwa kwa pesa zetu wenyewe tulizokusanya sasa unasemaje tuseme tumejenga kwa pesa za nje? Kwani mkopo wanatulipia wao?
 
Back
Top Bottom