Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kila mkopo wanasema una masharti nafuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wale more than 28mln extremely poor waliotajwa na WB hapo juzi Kati ndio mnawajengea airports au sio.Nchi hii maskini watapata tabu Sana bahatimbaya ni maskini wa akili Hadi Mali maccm mnawatumia Kama ngazi na kuwanyonya hawwjielewi ndio hao huwa mnawasomba kwenye maroli na wanawapigia kuraHongera Rais Magufuli kwa kuwajali Watanzania
Mambo ya gesi na mafuta yemeshafutwa kwenye muungano hayapo tenaPesa zinajenga JMT tu (Tanganyika) ila SMZ (Zanzibar) haipati kitu wala haitizamwi! Sijui kama Zanzibar imepata mgao wake wa mapato ya gesi ya mtwara au kwanza mpaka tuchimbe mafuta ndio tupate mgao 😀
Yamefutwa lini na gesi imechimbwa lini Mtwara? JMT imekalia kuinyonya Zanzibar tu kwa sababu Tanganyika haijiamini na rasilimali zake!Mambo ya gesi na mafuta yemeshafutwa kwenye muungano hayapo tena
viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma
Kwani mkopo si unaulipa kwa pesa zako za ndani kwani wanakulipia? Mna uelewa finyu sana Chadema ngoja tumalizane na nyie October 28 mtakuwa kama TLP
Huelewi mikopo pia hulipwa kwa pesa za kodi,tozo na gawio zilizokusanywa ndaniWewe ni zaidi ya kiazi na unalitambua hilo, sema unaona aibu kukiri angalau hata kunyamaza. Fedha za ndani ni fedha zilizokusanywa kutokana na kodi, tozo na gawio za ndani. Fedha za mkopo nimetoka kwa wakopeshaji au misaada kutoka kwa mabeberu. Tofauti zinazoleta majina yake ni “chanzo”. Hata hivo wakubwa wako waliosaini makaratasi wazipate wanaelewa. Wakija kwako popoma wanakuambia tofauti na unasheherekea!!
Hivi kweli hata hili nalo ni gumu kuelewa??