Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
On surface inaonekana ni very ‘Interesting read’ but I need to digest the information slowly in order to make sense of it all.Leaked statoil doc
WPS 365
us.docworkspace.com
If anything kwa haraka haraka unapata picha kwanini majadiliano yalikwama, kwanini hawa watu awakuzitaka sheria za JK (zile za hati ya dharura).
Kumbe walikuwa na frameworks zao tayari za majadiliano.
Basically walikuwa na PSA Framework tayari ya majadiliano, unfavourable kwa serikali na awataki kuibadili. Hizo ndio sababu za kuchelewa kwa final negotiations.
Sasa what has changed from that 2013 PSA framework (which they were reluctant to modify) to the newly agreed this year which is used with the current negotiations is a different story.
Ila kwa limitations ya waziri na pressure ya raisi waliyopewa negotiators kumaliza majadiliano only God knows.
Either way hizo zilikuwa ni frameworks not actual contracts.