Kwa kifupi wewe ni muongo maana umeshindwa kuleta uthibitisho wa madai na kutetea position yako ya kuwa Magufuli alifuta uwekezaji wa Kigamboni na LNG kwa kusikiliza CDM pamoja na kununua ndege kwa kuwasikiliza CDM.
Hayo mengine sasa ni utaratibu wa ‘akutukanae, akuchagulii tusi’; unatafuta tu visababu visivyo na kichwa wala miguu vya kutoa lawama.
Siwezi kujadili kuhusu maswala ya mradi wa gas kwa sababu hizo ni complicated advanced financial management accounting trust me, sasa unataka nijadili mambo ya investment za dollar billion 40 ambazo kiasi kikubwa zimekopwa, zina rudi kwa muda mrefu, no one knows future stability ya currencies, nor bei ya gas ndani ya muda (trust me all those factors zipo kwenye negotiations).
Sasa mtu mwenyewe uelewi ata hatua za mradi ulipo when that information is in the public kweli nianze majadiliano na wewe kuhusu oil and gas contracts lines of commercial negotiations. Kwa kifupi what you receive as divided ina fluctuate based on so many of factors related to the source of and markets; and sometimes you get nothing.
Spare a thought on the assignment unayotaka kunipa ya kujadili hayo mambo na wewe usually I charge for such reports.
View attachment 2399520
Na kuhusu uwekezaji wa pension funds nilishaweka sheria inasemaje NSSF walivuka kiwango cha umiliki. Sasa huyo CAG wako angekuwa makini angeionya serikali huko ni kuchezea (risk) ya kutoweza shirika la kutotimiza wajibu wake wa kulipa watu mbeleni.
Ni hivi huo mradi chini ya serikali makini usingefanyika in the first ni kuweka sehemu kubwa ya mapato ya pension funds in a project which has long return of investment.
Worst hakuna proper marketing research ya kuuza nyumba haraka and overpriced.
Hivi unadhani Magufuli alikuwa mtu wa kukurupuka ovyo.