Emmanuelmunisi
New Member
- Aug 22, 2022
- 1
- 0
Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo ya Madarasa na Ofisi ya Waalimu.
Shule hii kwa Sasa Ukiitembelea Hali yake inatisha, Majengo yakiwa katika Hali mbya ya Uchakavu Mkubwa , Uchache wa Madarasa na ubovu wa Miundombinu kwa Ujumla.
Wananchi wanadai kuwa Majengo Mengine ya Shule hiyo yalibomoka kutokana na Kuchakaa Hali iliyosababisha Shule hiyo kubaki na Majengo manne tu ya Madarasa.
Pia soma ~ Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya