johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na ni Msukuma mwenzetuMungu awe pamoja nae maana ni mzalendo wa hali ya juu na vipindi vyake huwa vinaelimisha umma.
Usikute bado unaishi kwa wazazi wako ambao wanaishi kwa hisani na ukamilifu wa Dkt Magufuli, then unasema na wao wanalamba soli za viatu. Mijitu kama wewe ndiyo ilipaswa isizaliwe Tz.Kumbe ndo maana alikuwa anajitahidi sana kulamba soli za viatu vya wakulu, ..duuh [emoji23][emoji23]
Ulaya tumezuiliwa kwenda labda aende China.Endelea kuwasifia utakula ukuu wa wilaya
@Pascal Mayalla njoo ujibu hoja huku, usiishie kukoment 'Duh P'Aishukuru sana Star TV imempa promo nzuri, na post zake humu jamii forums za kujinyenyekeza zimemrudisha kwenye mlo.
Acha ukabila wewe. Hayo mambo ya ukabila peleka ChademaNa ni Msukuma mwenzetu
Tangu Pascal Mayalla aanze kupandisha nyuzi zinazofanana na nyuzi za Bia yetu nilijua tu njaa imemkabili