Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kila la kheri ndugu, huyu jamaa huwa namuonaga yupo sahihi sana..ni vile, tumefundishwa kufikiria sawa..hatuna kutwist mind zetuMh Raisi hapa umenigusa.
Tunakiwanda tuko kwenye harakat kukifungua ila sasa changamoto ni material.
Tukiagiza kutoka nje itafanya cost ya production iongeze.
Raw Material yake (ingawa lazima ufanye recycle) ziko hapa Tz, ila sasa recycle yake inahitaj hizo mashine za Moulding.
Tutengeneze bidhaa wenyewe tuache utegemezi kwenye kila kitu.
Tutafika nina amini.
Watu kama nyie na wengine wengi mtawezeshwa to the fullestMh Raisi hapa umenigusa.
Tunakiwanda tuko kwenye harakat kukifungua ila sasa changamoto ni material.
Tukiagiza kutoka nje itafanya cost ya production iongeze.
Raw Material yake (ingawa lazima ufanye recycle) ziko hapa Tz, ila sasa recycle yake inahitaj hizo mashine za Moulding.
Tutengeneze bidhaa wenyewe tuache utegemezi kwenye kila kitu.
Tutafika nina amini.
Mh Raisi hapa umenigusa.

Bro ukisubiria hadi uwe na serikali yako utachelewa sana..View attachment 3340870
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):
2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi
Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachina
Hiyo ni njia yakoBro ukisubiria hadi uwe na serikali yako utachelewa sana..
Una theories nyingi sana za kusadikika, tafuta moja ya maana uifanye na ikusaidie wewe na vizazi vyako..
Usijali sana kuhusu nchi, kila mtu atapambana kivyake!
Ntahakikisha mashine operator na production manager wanatoka Tanzania na sio India au china kama ilivyo sahiviEeeh hii leo Mh. Umenigusa maana ukienda hata vyuo vya kati bado machine ni duni mno hili wazo lako mujarabu kabisa.
Mfano hiiWeka bei zake basi ili tuone
Serikali inatakiwa ku-support watu kama nyie sababu mnalengo la kufanya uzalishaji moja ya changamoto kubwa sana ya uchumi wa Tanzania hauzalishi mwisho wa siku tuna-import sana hilo ni tatizo ambalo mimi nikiwa Rais ntapambana naloKijana wangu amekua na ndoto ya kumiliki Lathe n Milling Machine.
Tulipo angalia bei ya hizo mbili za mtumba, tulipata kwa karibu 79,000,000Tsh
Hamna kitu huyu ni deo kisandu Pro max huo alioundika ni ujinga mtupu na uongo watu jamiiforums wameshampuuziaDuh uko very deep
Ni vile tu ukiwa na IQ kubwa, wale wenye IQ ndogo wanakuona kama umechanganyikiwa.View attachment 3340870
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):
2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi
Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachina
PamojaNtakupa Kura.