little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
God bless.Ntahakikisha mashine operator na production manager wanatoka Tanzania na sio India au china
God bless.Ntahakikisha mashine operator na production manager wanatoka Tanzania na sio India au china
View attachment 3340870
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):
2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi
Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachinaI
Uchaguzi mkuu ukikaribia kumbe kuna fursa nyingi
Nakubaliana na wewe kwa 40%.View attachment 3340870
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):
2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi
Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachina
Team Dennis 255713520180
Labda angekuwa anasapoti uchawaSerikali inatakiwa ku-support watu kama nyie sababu mnalengo la kufanya uzalishaji moja ya changamoto kubwa sana ya uchumi wa Tanzania hauzalishi mwisho wa siku tuna-import sana hilo ni tatizo ambalo mimi nikiwa Rais ntapambana nalo
Magufuli hakuwa na mpango mkakati wowote wa kufufua viwanda sana sana alijikita kwenye sloganIna maana hizo mashine hatuwezi ku innovate hapa TZ au Af6ika
Mbona bei kubwa sana ? Ina maana hata vipuri itakuwa ghali, je haitakuwa gharama kuziendesha. Nsv8owajya watanzaniawe ngi ukizifunga mashine kama hizo watachomoa vitu wakauze. Waliiba Tazara, reli ya kati na viwanda vingi yakabaki magofu. Magu akajaribu kufufua wapi.
Tanzania biashara ama viwanda vinakufa sababu kuu ni wananchi, (jamii)Magufuli hakuwa na mpango mkakati wowote wa kufufua viwanda sana sana alijikita kwenye slogan
Viwanda vilikufa sababu Havikua na uongozi mzuri na havikua na malengo ya mda mrefu
Uongozi ni tatizo linatusumbua waafrika sio Tanzania ni karibia nchi zote za sub saharanTanzania biashara ama viwanda vinakufa sababu ni wananchi, (jamii)
Sababu kuu ni wananchi, (jamii)Uongozi ni tatizo linatusumbua waafrika sio Tanzania ni karibia nchi zote za sub saharan
RAIS WA TANZANIARais wa JF😂😂
Hongerea sana kwa kuwa na wazo kama hili, naomba kukuliza swali mmoja au maswali machache.Mh Raisi hapa umenigusa.
Tunakiwanda tuko kwenye harakat kukifungua ila sasa changamoto ni material.
Tukiagiza kutoka nje itafanya cost ya production iongeze.
Raw Material yake (ingawa lazima ufanye recycle) ziko hapa Tz, ila sasa recycle yake inahitaj hizo mashine za Moulding.
Tutengeneze bidhaa wenyewe tuache utegemezi kwenye kila kitu.
Tutafika nina amini.
Akikujibu nishtueHongerea sana kwa kuwa na wazo kama hili, naomba kukuliza swali mmoja au maswali machache.
Nafikiria siku za usoni kununua machine mbili Lathe machine na Milling machine nikafungua engineering company yangu.
Maswali yangu ni haya
1. Hivi wataaalamu wenye ujuzi wa ku operate hizi machine kwa bongo wapo wengi? Au kwamfano nataka kuwatafuta nawatafutataje au nawapataje.
2. Swala la raw materials kama steel, brass, and Stainless steel upatikanaji wake..
3. Demand ya mashine hizi katika soko kwa sasa maana naamini ukiwa na hizi machine mbili utapunguza utenemezi wa parts katika soko la nje na kuinua viwanda vya ndani
Embu naomba general picture kutoka kwako pengine naweza jifunza kitu au ukanishauri kitu asante sama. Swali moja la ziada unafikiria kuanzisha kampuni yako mkoa gani
SawaAkikujibu nishtue