amarina JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 230 Reaction score 403 Aug 31, 2025 #1 Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena Attachments 1000057395.jpg 98.6 KB · Views: 29
Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
amarina JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 230 Reaction score 403 Aug 31, 2025 Thread starter #2 Mod marekebisho ondoa kumtikia iwe kumkabili
H hahaha always done JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 1,439 Reaction score 2,442 Aug 31, 2025 #3 amarina said: Mod marekebisho ondoa kumtikia iwe kumkabili Click to expand... Mode wasiporekebisha ndio itamake sense, yaani umekamuliwa mpaka umeshindwa kuongea vizuri,mode acheni hivohivo🤣🤣
amarina said: Mod marekebisho ondoa kumtikia iwe kumkabili Click to expand... Mode wasiporekebisha ndio itamake sense, yaani umekamuliwa mpaka umeshindwa kuongea vizuri,mode acheni hivohivo🤣🤣