Tangu Tanzania ipate uhuru Kigoma wamekuwa wakitumia umeme wa Jenereta lakini serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kuiunganisha kigoma katika Grid ya Taifa na kufanikiwa kuzima majenereta yote ya Kibondo, Ngara na Biharamulo na kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa.
kwa kufanikiwa kuunga umeme wa grid ya taifa TANESCO sasa itakuwa ikiokoa shilingi Bil. 22.4 kwa mwaka serikali imetengeneza historia ya kipekee kwenye sekta ya nishati, nampongeza sana Rais Samia Suluhu ameandika historia.
Kweli mama anaupiga mwingi amekumbuka maeneo yaliyokua yamesahaulika.