Serikali yaokoa mabilioni ya pesa Kigoma

Serikali yaokoa mabilioni ya pesa Kigoma

Rais Samia Suluhu aliahidi kutekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake na amemaliza miradi mingi mikubwa kwa wakati kwaiyo bila usimamizi mzuri mpaka leo mradi ungekua haujakamilika kwaiyo mama anaupiga mwingi sana
Kwanini asimsaidie Makamba kutafuta ile Crane ambayo ilikuwa haipatikani ili mradi wa Bwawa la Nyerere uishe na gharama ziwe rafiki ?

Kuna faida gani ya kuunganishiwa umeme ambao gharama zake sio rafiki ?
 
Gharama ya kuunganisha umeme ni rafiki kwa vijijini wanalipa elfu 27 tu
lengo ni kusambaza umeme vijiji vyote Tanzania
 
alisema watapunguza matumizi kwenye chai na sio kuongeza
Kwahio ni wazee wa reactiveness na sio Pro-activeness ?!!

Yaani wakati wanafiria hizi pumba hawakujua impact yake na walidhani wanafanya jambo jema ?

Kweli wewe na wao mpo out of touch na reality (au mnajitoa ufahamu)
 
Ki vip akati akati alikuta kilakitu nipo tayari

Aliyefanya kazi ni Ndugu yangu Kalemani sio hicho kipara sales manaja wa Taifa gasi
Hata kama angekua anagawa ges za oryx lazima mngesema ni sales wa oryx january makamba alichokua anakifanya ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi na kugawa gesi za kupikia kwa kaya masikini
 
Hiyo kazi ilifanyika kipindi cha magufuli lakini ilisimama kwa muda alipo fariki kwa hiyo hawa wa sasa hivi wamemalizia tonge la mwisho tuu
 
kweli wote wananstahiri pongezi maana january makamba anasimamia idara ya nishati vizuri sana
Januwari akimaliza kazi hapo ahamishiwe Wizara ya Fedha akanyooshe mambo na huko.

Wanaofura na wafure😂😆
 
Januwari akimaliza kazi hapo ahamishiwe Wizara ya Fedha akanyooshe mambo na huko.

Wanaofura na wafure😂😆
Akimaliza kazi hapo wote tutakuwa gizani na kule atakuta mwenzake kashamaliza kazi na nchi ishauzwa ipo mikononi ya sijui nani (proof za kuuzwa sina ila nachukua maneno ya Ndugai.., na kwa hii issue nimeamua kuamini anachosema)
 
Back
Top Bottom