Zitalipa posho na chai kwa watumishi.Kwahio hizo Pesa zilizo-okolewa zinakwenda / zimekwenda wapi..., as kitaa mbano bado upo pale pale....
Ni miaka mingi kweli lakini Rais Samia Suluhu amefanikishaAisee ni miaka mingi.
Sitaki kujua nani kafanikisha ila Kigoma ilikuwa na shida ya umeeme.Ni miaka mingi kweli lakini Rais Samia Suluhu amefanikisha
Rais Samia Suluhu amefanikisha kupeleka umeme sehemu zilizokua zimesahaulika ili kuokoa pesa ambazo sasa zitasaidia katika miradi mingineSiasa za kitoto hizi wakati kila siku tunakatwa rea
Kwa hili mama Samia anafanya vizuri, Ila pia mradi wa kuuunganisha kigoma na gridi ya taifa umeanza 2019Rais Samia Suluhu amefanikisha kupeleka umeme sehemu zilizokua zimesahaulika ili kuokoa pesa ambazo sasa zitasaidia katika miradi mingine
mama kaupiga mwingi sana kigoma walipata shida ya umeme muda mrefu na hayo majenereta lazima yatapelekwa sehemu nyingineSitaki kujua nani kafanikisha ila Kigoma ilikuwa na shida ya umeeme.
Sasa hayo Majenereta yapelekwe sehemu nyingine zisizo na Umeme.
Laa sivyo yataibiwa tu a kupimwa skrepa.
Lakini mama amefamikisha sasa kigoma hawana wasiwasi na umemeKwa hili mama Samia anafanya vizuri, Ila pia mradi wa kuuunganisha kigoma na gridi ya taifa umeanza 2019
Zitaenda kutekeleza miradi mingineKwahio hizo Pesa zilizo-okolewa zinakwenda / zimekwenda wapi, as kitaa mbano bado upo pale pale.
Rais Samia Suluhu aliahidi kutekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake na amemaliza miradi mingi mikubwa kwa wakati kwaiyo bila usimamizi mzuri mpaka leo mradi ungekua haujakamilika kwaiyo mama anaupiga mwingi sanaWametekeleza maagizo ya jpm aliyoyatoa february 2021.pamoja na hivyo wamechelewa sana.Angekuwe jpm wangekuwa wameshamaliza kitambo sana lakini kwa kuwa awamu hii ya wazembe wamechelewa hadi tumechoka
Zitaenda kutekeleza miradi mingine ya maendeleo acha upotoshajiZitalipa posho na chai kwa watumishi.
Lakini Rais Samia Suluhu amefanikisha mradi kukamilika kongore kwa mamaHiyo kazi alifanya JPM
Japo imekamilaka kipindi hicho Mkuu.
Pesa Chuma alimtafutia yeye na mkandarasi alitafuta yeye kila kituu.
So kwa mama hapana