Serikali yaonya utoaji taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji taarifa

Anazunguka sana, aseme tu kuwa kiongozi wa kiroho wa Kabisa Katoliki amefanya makosa kutoka takwimu na kusema ukweli hadharani.

JPM kafanya watendaji wake wawe watu wa ajabu sana, wenye hofu na kukabidhi akili kwake.
Kama taifa sijui wapi tunaelekea
 
Ujinga mtupu,mapadri na masister ni Mali kanisa,wazazi wamewatoa sadaka.kwahiyo Wana haki ya kutufahamisha waumini hali ya watumishi wetu.
Huyu Abasssi hana akili kazi ni kulinda ugali wake tu
 
Mi nataka tu nikujulishe dini zinazoogopwa na serikali huwa ni waislamu. Maana wale wakimezeshana sumu huwa wanafanya kweli ndo maana serikali inawakumbatia na kuwasikiliza sana.
Wewe unaongelea kupigana, kulipuana na kujitoa mhanga kwa mabomu na misimamo ya kijihad lakini mimi naongelea uimara,ukubwa na mikakati ya kitaasisi ndio hapo tu tunapo pishana

Hakuna taasisi imara zaid ya ngome ya rumi hilo linajulikana duniani kote na ndio maana hata leo ukisikia pope fransis anakuja tanzania utaona nchi itakavyo simama na ni zaid hata ya ujio wa obama au joe baiden au hata qeen elizabeth na government officials wote utawaona wanavyo haha awe muislam au mkristo awe mkuu majeshi au rais.

Kuna vitu vingi na siri nyingi huzijui kuhusu hii taasisi ya rumi mkuu.
 
Dr. Abass si atoe takwimu zake sasa kama hataki taasisi nyingine kutoa taarifa?

Mra nyingi watu huibuka na kuanza kufanya yao kunapokuwa na ombwe la uongozi
 
Polokwani, aya yako ya mwisho ina ujumbe mzito. Asante kwa kutambua hili. Light watu wangefahamu!
 
Yupo sahihi...

Siyo kila mtu ajiongelee lake... lazima taarifa iliyokua na msimamo itoke sehemu mmoja, serikali kuu...
 
Huyu Abasi ni miongoni mwa watanzania wanaotamani MAGUFULI aongeze muda. Pusi mweusi huyu.
Serikali isipotoa taarifa za maradhi tutazitoa wenyewe wananchi kwakuwa wanaokufa tunaishi nao na tunawajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…