At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Hao viongozi wa Katoliki na KKKT wanalack some leadership skills.
Wanaongozwa na hisia na external influence.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu PhD holder alitaka ateuliwe pia kuwa msemaji wa kanisa Katoliki?Anazunguka sana, aseme tu kuwa kiongozi wa kiroho wa Kabisa Katoliki amefanya makosa kutoka takwimu na kusema ukweli hadharani.
JPM kafanya watendaji wake wawe watu wa ajabu sana, wenye hofu na kukabidhi akili kwake.
Acha longo longo. Kamata Kitima, weka ndani, fullstop! Kilangila.Kitima anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu/ kisheria. Ni nchi gani hapa duniani ambayo mapadre ndiyo watoa takwimu za corona? Hata huko Italy ambako ndiyo makao makuu ya kanisa katoliki hawajawahi na hawatawahi kufanya hivyo...
Huwezi kushindana na dola!! Vinginevyo uko tayari kutumia!Nilisema hata jana na ninarudia tena ngome ya rome /catholic inanguvu na ni nzito kuliko hata hiyo serikali ya jiwe hivyo serikali isiingie kichwa kichwa.
Boss wao anapenda haya ya kuonwa wanatii 'kupiga' umma mikwara.
Mapadri ni viongozi wa serikali? Ni watumishi wa CCM? Yaani taasisi binafsi imetoa taarifa za watumishi wake binafsi nyie kiherehere cha nini? Basi wao wataoa taarifa zinazohusu watu wao nyie msipeleke vyonbo vyenu TBC, Channel10 na Uhuru.Kitima anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu/ kisheria. Ni nchi gani hapa duniani ambayo mapadre ndiyo watoa takwimu za corona? Hata huko Italy ambako ndiyo makao makuu ya kanisa katoliki hawajawahi na hawatawahi kufanya hivyo...
Kupumua wameshindwa,wataweza kuongea mkuu.yule alielazimishwa kuongea alibaki kulia tu ni ukatiliKwani marehemu wenyewe wanasemaje?
Nililitegemea hilo kuwa huyu Pimbi haraka sana angefanya Counter ili Kulifunika la Padre Kitima na TEC yake.Dr Kitima atikisa nchi , Mamluki waanza kuweweseka !
Leadership skills anazo Nani, Magufuli?? Hili neno skill lina maana tofauti hapo Lumumba?Hao viongozi wa Katoliki na KKKT wanalack some leadership skills.
Wanaongozwa na hisia na external influence.
Tunazungumzia taratibu, maadili, kanuni na sheria za utoaji wa takwimu za magonjwa ya kuambukiza na ya milipuko.
1. Katika mlipuko wa ukimwi ulipotokea na hadi sasa unavyoendelea, mapadre kama Kitima walishawahi kutoa takwimu za mapadre na masista walioambukizwa ukimwi na waliofariki kwa ukimwi? Si ni wengi tu, sasa kwa nini hatoi takwimu hizo ili tuhamasike kuchukua tahadhali zinazopaswa? Kwa nini anaona rahisi kutoa takwimu za gonjwa la corona kwa mapadre na watawa wa kanisa lake? Hajui kwamba corona inaambukizana kwa njia zote ambazo ukimwi unaambukizana pamoja na hizo njia nyingine? Yaani kama mpenzi wako ana corona lazima atakuambukiza, and vice versa, tena kirahisi zaidi kuliko virusi vya ukimwi. All you need is close contact of any part of his/ her body provided that contact is within 1 metre distance. Contact ya ukimwi si zero distance pekee bali certain parts of your bodies have to be penetrating each other. Hivyo ni rahisi zaidi kupata corona kwa njia ya zinaa kuliko kupata ukimwi kwa njia ya zinaa.
Masista kwa kawaida huishi maisha ya isolation katika makazi yao. Hivyo ndivyo wanavyoishi mapadre kwenye makazi yao. Hutawaona masokoni wala kwenye madaladala. Contact yao na watu wengine ni kwenye nyumba za ibada tu ambamo watu huvaa barakola na kufanya social distancing. Sasa hizo close contact zingine kati ya mapadre na masista zimetokeaje hadi kupelekea vifo 25 za mapadre na 60 za masista kwa kuambukizana corona ndani ya miezi 2 tu? Padre Kitima anataka serikali ifanye nini kunusuru hii hali ya mapadre na masista kuambukizana corona? Hii kasi ya maambukizi kwa watawa hawa, kama takwimu za Kitima ni za kweli, ni kubwa sana xaidi ya mara kumi kuliko hali ilivyo kwa wengine. Yaani wanawazidi hata watoa huduma ya afya walio front line kutibu wagonjwa wa corona mara zaidi ya kumi? Kuna nini huko kwa watawa wetu?
NB: Hadi sasa wimbi hili la sasa la ugonjwa huu, kiwango chake bado kiko chini sana ukilinganisha na wimbi la mwaka jana. Na tayari karibu linafikia mwisho wa msimu wake. Tungefanya copy & paste ncji yetu ingalikuwa kwenye continous lockdown and face masks kwa zaidi ya mwaka mmoja hadi sasa. Tulikataa kufanya hivyo. Wala hatuko peke yetu kufanya hivyo. Sweden walikataa kama sisi. Hadi sasa kimaambukizi na vifo sisi, Sweden na nchi zingine zilizochukua msimamo huu, ziko far better than those other countries such as USA and most European countries.
Takwimu gani wewe unaongea!!!!!Tunazungumzia taratibu, maadili, kanuni na sheria za utoaji wa takwimu za magonjwa ya kuambukiza na ya milipuko.
1. Katika mlipuko wa ukimwi ulipotokea na hadi sasa unavyoendelea, mapadre kama Kitima walishawahi kutoa takwimu za mapadre na masista walioambukizwa ukimwi na waliofariki kwa ukimwi?
Si ni wengi tu, sasa kwa nini hatoi takwimu hizo ili tuhamasike kuchukua tahadhali zinazopaswa? Kwa nini anaona rahisi kutoa takwimu za gonjwa la corona kwa mapadre na watawa wa kanisa lake? Hajui kwamba corona inaambukizana kwa njia zote ambazo ukimwi unaambukizana pamoja na hizo njia nyingine? Yaani kama mpenzi wako ana corona lazima atakuambukiza, and vice versa, tena kirahisi zaidi kuliko virusi vya ukimwi.
All you need is close contact of any part of his/ her body provided that contact is within 1 metre distance. Contact ya ukimwi si zero distance pekee bali certain parts of your bodies have to be penetrating each other. Hivyo ni rahisi zaidi kupata corona kwa njia ya zinaa kuliko kupata ukimwi kwa njia ya zinaa.
Masista kwa kawaida huishi maisha ya isolation katika makazi yao. Hivyo ndivyo wanavyoishi mapadre kwenye makazi yao. Hutawaona masokoni wala kwenye madaladala. Contact yao na watu wengine ni kwenye nyumba za ibada tu ambamo watu huvaa barakola na kufanya social distancing. Sasa hizo close contact zingine kati ya mapadre na masista zimetokeaje hadi kupelekea vifo 25 za mapadre na 60 za masista kwa kuambukizana corona ndani ya miezi 2 tu? Padre Kitima anataka serikali ifanye nini kunusuru hii hali ya mapadre na masista kuambukizana corona? Hii kasi ya maambukizi kwa watawa hawa, kama takwimu za Kitima ni za kweli, ni kubwa sana xaidi ya mara kumi kuliko hali ilivyo kwa wengine. Yaani wanawazidi hata watoa huduma ya afya walio front line kutibu wagonjwa wa corona mara zaidi ya kumi? Kuna nini huko kwa watawa wetu?
NB: Hadi sasa wimbi hili la sasa la ugonjwa huu, kiwango chake bado kiko chini sana ukilinganisha na wimbi la mwaka jana. Na tayari karibu linafikia mwisho wa msimu wake. Tungefanya copy & paste ncji yetu ingalikuwa kwenye continous lockdown and face masks kwa zaidi ya mwaka mmoja hadi sasa.
Tulikataa kufanya hivyo. Wala hatuko peke yetu kufanya hivyo. Sweden walikataa kama sisi. Hadi sasa kimaambukizi na vifo sisi, Sweden na nchi zingine zilizochukua msimamo huu, ziko far better than those other countries such as USA and most European countries.
Weka namba ya simu tafadhali, kuna nafasi ya u-DAS mahali.Tunazungumzia taratibu, maadili, kanuni na sheria za utoaji wa takwimu za magonjwa ya kuambukiza na ya milipuko.

Wanashindwa kutangaza mgao wa umeme......Failed state wanashindwa kudeal na vitu vya maana kwa wananchi wapo bize kuchikba mabiti wananchi