Mtu yoyote kusema anaumwa tatizo flani,hasa katika magonjwa ya kuambukiza ,mlipuko ni mtu bora kabisa hata kikiwa kikundi sawa, KWA unawakinga wengine na kuwapa tahadhali, that's wakati ukimwi unaingia watu waliona haibu kujiweka wazi, na tatizo lilikua linakua Sana, ikaja miradi mbali mbali iliyosaidia wenye tatizo hilo kujiweka wazi,kupewa elim na wakaanza elimisha wengine, pamoja na dawa upimaji wa ihali ukaongezeka, leo tatizo limepungua Sana ,
Kipindu pindu kinapotokea tahalifa hutolewa ,kuhimiza watu kuzingatia usafi na Mambo ukaa sawa
So shida hapa iko wapi KWA ungonjwa Kama wa Sasa akisema, nafikili huyu anaweza kua analisadia taifa,watu wake wa karibu, jamii yake zaidi kuliko anekaa kimya
Tunazungumzia taratibu, maadili, kanuni na sheria za utoaji wa takwimu za magonjwa ya kuambukiza na ya milipuko.
1. Katika mlipuko wa ukimwi ulipotokea na hadi sasa unavyoendelea, mapadre kama Kitima walishawahi kutoa takwimu za mapadre na masista walioambukizwa ukimwi na waliofariki kwa ukimwi?
Si ni wengi tu, sasa kwa nini hatoi takwimu hizo ili tuhamasike kuchukua tahadhali zinazopaswa? Kwa nini anaona rahisi kutoa takwimu za gonjwa la corona kwa mapadre na watawa wa kanisa lake? Hajui kwamba corona inaambukizana kwa njia zote ambazo ukimwi unaambukizana pamoja na hizo njia nyingine? Yaani kama mpenzi wako ana corona lazima atakuambukiza, and vice versa, tena kirahisi zaidi kuliko virusi vya ukimwi.
All you need is close contact of any part of his/ her body provided that contact is within 1 metre distance. Contact ya ukimwi si zero distance pekee bali certain parts of your bodies have to be penetrating each other. Hivyo ni rahisi zaidi kupata corona kwa njia ya zinaa kuliko kupata ukimwi kwa njia ya zinaa.
Masista kwa kawaida huishi maisha ya isolation katika makazi yao. Hivyo ndivyo wanavyoishi mapadre kwenye makazi yao. Hutawaona masokoni wala kwenye madaladala. Contact yao na watu wengine ni kwenye nyumba za ibada tu ambamo watu huvaa barakola na kufanya social distancing. Sasa hizo close contact zingine kati ya mapadre na masista zimetokeaje hadi kupelekea vifo 25 za mapadre na 60 za masista kwa kuambukizana corona ndani ya miezi 2 tu?
Padre Kitima anataka serikali ifanye nini kunusuru hii hali ya mapadre na masista kuambukizana corona? Hii kasi ya maambukizi kwa watawa hawa, kama takwimu za Kitima ni za kweli, ni kubwa sana xaidi ya mara kumi kuliko hali ilivyo kwa wengine. Yaani wanawazidi hata watoa huduma ya afya walio front line kutibu wagonjwa wa corona mara zaidi ya kumi? Kuna nini huko kwa watawa wetu?
NB: Hadi sasa wimbi hili la sasa la ugonjwa huu, kiwango chake bado kiko chini sana ukilinganisha na wimbi la mwaka jana. Na tayari karibu linafikia mwisho wa msimu wake. Tungefanya copy & paste ncji yetu ingalikuwa kwenye continous lockdown and face masks kwa zaidi ya mwaka mmoja hadi sasa.
Tulikataa kufanya hivyo. Wala hatuko peke yetu kufanya hivyo. Sweden walikataa kama sisi. Hadi sasa kimaambukizi na vifo sisi, Sweden na nchi zingine zilizochukua msimamo huu, ziko far better than those other countries such as USA and most European countries.