Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapadre si wateule wa Vatican.Waambieni MATAGA kwamba kudili na mteule wa VATICAN ni ngumu sana. Chama cha mazezeta hakuna hata mmoja anaeweza kudili hata na FLATELI. Kama wanabisha waseme suuu. Mapadri ni akili kubwa licha ta vibaraka wachache waliopandikizwa ndani ya TEC ila kudili na wateule wa VATICAN sio kama kudili na GWAJIBOY RASHID
Sawa pambane na mapadri. Ila waambie chama cha mazezeta kwamba mapadri sio kama akina nabii tito au GwajiboiMapadre si wateule wa Vatican.
Haya kilipoenenea sehemu zingine duniani na taarifa kuwa zinatolewa, si ugonjwa umeendelea kuenea? Hizo taarifa zimepunguza kipi kwenye kasi ya kuenea? Kwa taarifa yako taarifa hizo nyingi ni under reporting hadi nchi zinagombana kwa kuficha idadi halisi ya corona zao.Ni hivi hivi ndivyo China ilizuia taarifa za Covid-19 hadi kirusi kikaenea dunian
Siku nilipomuona GEORGE BUSH anakwenda vatican mwaka 2004 nikajua siku za sadam hussein zinahesabika. Kesho yake marines wapo iraq vumbi linatimuka.Vatican ikifahamishwa idadi ya watawa waliofariki Tanzania ina uhuru wa kutoa data hizo kwenye vyombo vya habari duniani. Kifo si siri.
Utoaji wa taarifa wa serikali umekuwa 'bogus'.utoaji wa taarifa kwa sababu Serikali ina utaratibu wake wa kutoa taarifa
Nisome.Masister wengi huwa na taaluma mbali na u sister, Kuna ma accoutant, wauguzi, walimu nk. Hawa wote hufanya kazi kama waajiriwa wengine. Masister wauguzi inawezekana kabisa walihudumia wagonjwa wa Covid na waliipatia huko.
Mnafahamu huduma za kitubio za kanisa Katoliki zinavyoendeshwa. Ni rahisi mapadre kupata maambukizi wakati wa huduma ya kitubio.
Anazunguka sana, aseme tu kuwa kiongozi wa kiroho wa Kabisa Katoliki amefanya makosa kutoka takwimu na kusema ukweli hadharani.
JPM kafanya watendaji wake wawe watu wa ajabu sana, wenye hofu na kukabidhi akili kwake.
Kuto kuwepo kwa PPE za kutosha kwa wafanyakazi wa afya pia ni changamoto.Nisome.
Hivi unajua ni wafanya kazi wangapi wa afya amabao tayari wamekwishapoteza maisha na wala habari zao hazijulikani!
Hawa watu (serikali) wanadhani kwa vile hawatangazwi watumishi hao hawaathiriki hata kidogo?
Kinga ya lawama ni kwa serikali kuficha athari zinazowapata wafanyakazi na hata raia zake?
Siyo kiongozi wa kiroho huyo!! Ni kiongozi wa dini! Ndivyo alivyojitambulisha mwenyewe!Anazunguka sana, aseme tu kuwa kiongozi wa kiroho wa Kabisa Katoliki amefanya makosa kutoka takwimu na kusema ukweli hadharani.
JPM kafanya watendaji wake wawe watu wa ajabu sana, wenye hofu na kukabidhi akili kwake.
Aweza hudhuria ibada pale Ufufuo na Uzima au akaenda Tanganyika Packers kukanyaga mafuta, ili akarushe vizuri makombora upande wa pili.Tusubiri misa ya jumapili!
Ni mwendo wa Ma-vieite.Kwani ilani inasemaje?
Ujue Kitima Ni Katibu wa TEC kwa hiyo Yeye Ni Kipaza sauti wa Vikao vya Tec.Kitima anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu/ kisheria. Ni nchi gani hapa duniani ambayo mapadre ndiyo watoa takwimu za corona? Hata huko Italy ambako ndiyo makao makuu ya kanisa katoliki hawajawahi na hawatawahi kufanya hivyo.
Sayansi haitambui uwepo wa Mungu. Science has never discovered the existance of any matter in this universe which has characteristics of being called God. Iweze padre huyu ashabikie sayansi badala ya God?
Nimekusoma. Hawa wanaudhi kuliko mfano. Kilangila.Mabwege wakubwa! Watu wanakufa kama nzige, nyie mmekaa tu kuimba nyimbo za kiongozi wenu aliyeisha poteza utu, badala ya kumsaidia kumrekebisha! Shame on you all puppets, your days are numbered! Big up viongozi wa dini, Mungu azidi kuwabariki na kuwaongezea busara!