IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,366
- 1,728
Tumewawekea tayari..kama ww ni mtumishi wa umma nenda ess kisha bonyeza emkopo Fanya kama unaomba mkopo benki yeyote ...kule juu watakuandikia kiasi unachoweza kukatwa (deductive amount per month)...hicho kiasi ndo kilichoongezwa (kwa wale waliokuwa wamefika ⅓)
MAMA MITANO TENA
MAMA MITANO TENA