Kiasi gani kimeongezeka kwako,? %Tumewawekea tayari..kama ww ni mtumishi wa umma nenda ess kisha bonyeza emkopo Fanya kama unaomba mkopo benki yeyote ...kule juu watakuandikia kiasi unachoweza kukatwa (deductive amount per month)...hicho kiasi ndo kilichoongezwa (kwa wale waliokuwa wamefika ⅓)
MAMA MITANO TENA
Mm sio mtumishiKiasi gani kimeongezeka kwako,? %
MTumishi unaweza kumhonga hata pipi na akakusifu. Hasa walimu na maaskariTumewawekea tayari..kama ww ni mtumishi wa umma nenda ess kisha bonyeza emkopo Fanya kama unaomba mkopo benki yeyote ...kule juu watakuandikia kiasi unachoweza kukatwa (deductive amount per month)...hicho kiasi ndo kilichoongezwa (kwa wale waliokuwa wamefika ⅓)
MAMA MITANO TENA
Unamaanishaje?kwamba MAMA hajawaongezea mishahara..HAKIKA mama mitano tenaMTumishi unaweza kumhonga hata pipi na akakusifu. Hasa walimu na maaskari
Mfumo wa ESS kwa sasa haufanyi kazi na tatizo sijui ni ninii!!!.Tumewawekea tayari..kama ww ni mtumishi wa umma nenda ess kisha bonyeza emkopo Fanya kama unaomba mkopo benki yeyote ...kule juu watakuandikia kiasi unachoweza kukatwa (deductive amount per month)...hicho kiasi ndo kilichoongezwa (kwa wale waliokuwa wamefika ⅓)
MAMA MITANO TENA
Asante, nafikiri mfumo ukikaa sawa tutaiona.Tumewawekea tayari..kama ww ni mtumishi wa umma nenda ess kisha bonyeza emkopo Fanya kama unaomba mkopo benki yeyote ...kule juu watakuandikia kiasi unachoweza kukatwa (deductive amount per month)...hicho kiasi ndo kilichoongezwa (kwa wale waliokuwa wamefika ⅓)
MAMA MITANO TENA
RestructuringMfumo wa ESS kwa sasa haufanyi kazi na tatizo sijui ni ninii!!!.
Ni kweli restructuring ndio sababu? Fafanua kama una taarifa za kweli juu ya hilo.Restructuring
Relax, ndiyo sababu. Au nifafanuajeNi kweli restructuring ndio sababu? Fafanua kama una taarifa za kweli juu ya hilo.
Vibuku 20
Mmmmmmm