ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma.
Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 57.04 kwa mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la asilimia 13.4 ikilinganishwa na Bajeti ya Mwaka wa Fedha, 2024/25 ya shilingi trilioni 50.29.
View: https://www.instagram.com/p/DHEfRuut4qw/?igsh=em1yOGo3aGhvNnh4
My Take
Bajeti hii ni sawa na Ongezeko la Shilingi Trilioni 20 ndani ya miaka 4 na nusu ya Uongozi wa Rais Samia.
Kiufupi ni kwamba Kwa miaka hii 4 ya mama ameongeza pesa nyingi zaidi both in quantity or percentage wise.
Mwaka wa Fedha wa 2025/26 TRA itakuwa inakusanya wastani wa 3T/Mwezi kutoka 1.5T/Mwezi mwaka 2021/2022 yaani mara 2 yake.Hii ni rekodi iliyowekwa na Samia tuu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DHF-mmusmk7/?igsh=MjluMmZ0dTJndXph